Nimewamis hawa watu sana jamani jamani

Nimewamis hawa watu sana jamani jamani

haya nipo Amsterdam si wajua nilikuwa fungateni na leo nina nyanga zimenikalia pabaya kweli. but miss you too.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Amsterdam mbona uliowamisi hapo juu wote hawakukumiss.
tuliokumiss tupo kimya tu hapa.
Mamndenyi hata wewe nimekusahau kwa bahati mbaya sana ila nimejitahdi kuwakumbuka wengi nakiri wamenimis maana japo sipo wanaendelea tu kunitag kuniqotes japo sijibu chochote
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
 
Last edited by a moderator:
alikuwa safarini hapa
images


Hommie, umeustukia huu mwandiko wa Amsterdam? BTW hivi jamani carmel amepotelea wapi? Hebu niulizie kwa Mamndenyi labda anaweza kujua.
 
ahahahahahah!....
ngoja kwanza we mzee....kwamba mamndenyi nae ni mpwaaz for them wapwaaaaz???????

bhaaaaaaaaaaaaaaaaasssssss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom