HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
na HorsePower pia nimemis sana mzee wa mawaidha ila nitarudi usijali horse power last week niliingia kama guest nikaona umeweka avatar mbaya sana nikashindwa kukuambia toa
Hahaaaa Amsterdam , wengi hawakufurahishwa na ile Avatar ikanilazimu kuibadiliki haraka. Tuko pamoja sana madam na tunakusubiri urudi.