ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
habarini za jioni
song mahususi kwa wale waliohususika
mpaka sasa niko hewani
nakula vyangu hewani
natafuna na kumung'unya hewani
nakata kata vitu hewani
naokotoa na kupaishia hewani
kila kitu kwangu ni hewani x2
i
Nilimwambia binamu yangu Passion Lady nikitoka
tu lupango naanzisha SOMO na
ndo nshaingia kuwafunda nyie WANAUME mso hewani
hivi ni kwanini wanaume mmekuwa watu wa ajabu sana
mtaambiwa mara ngapi ili mjirekebishe tabia zenu mbaya
yaani siku hizi wanaotoka mchepuko ni wanaume hivi
kwanini lakinio utulii na huyo mkeo mkajenga nchi huru
kwanini hutulii na kubaki njia kuu kwanini unapenda sana
huko chini jamani. Narudi katika hali yangu ya awali
kuweka masomo humu ya kuwafunda watu mana naona
hakuna mwelekeo wowote ule watu wanafanya dhambi
kana kwamba hawajui wataondoka duniani?
watu hawana hofu ya Mungu hususani hawa kaka zetu
hebu badilikeni msiwe watu wa kuwacheat wake zenu
Hivi ukujijua kuwa wewe ndo mwanzilishi wa LIGI NO1
sasa unafikiri LIGI 2 nani asiendelee basi jua kuwa
KAMA WEWE MWANZILISHI YUKO MMALIZIAJI
ATAKAYEJIPENDA ATAJIANGAMIZA ROHO YAKE NA
MWENYE SIKIO NA JICHO LA KUSOMA HAPA AMENIELEWA
Nawapenda marafiki zangu wote kama nimekoboa sorry
Nawasilisha
Ladyf
NB: Jamani mwenye marukuruku hapa asipitie awe coo & peace
cc: Mamndenyi, Arushaone, Filipo (kapotelea wapi huyu) KakaKiiza, Erickb52, cacico, Kongosho, mshanaJr, utafiti, Excel (yakuhu..), mwaJ, Asnam, The secretary, Lady doctor, Heaven on Earth, Slave, Mtambuzi, Mentor, Bishanga, Kaizer, Bujibuji, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, nitonye, Arushaone, liverpooFC, PakaJimmy, Chabruma, gfsonwin, snowhite, Mwanyasi, YNNAH, na marafiki zangu wote karibu tujifunze hapa

Last edited by a moderator: