cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
hubby punguza wivu! khaaaa! basi twende wote tukamtembelee kha,Am watching!!!
hubby punguza wivu! khaaaa! basi twende wote tukamtembelee kha,Am watching!!!
Ewaaaa unaonaje leo tukitoka kiasili zaidi kama ile siku?hubby punguza wivu! khaaaa! basi twende wote tukamtembelee kha,
aku leo sivai hivyo hata kidogo, si wajua mwezi mtukufu huu! Au wataka nizikwe mzima mzima?ewaaaa unaonaje leo tukitoka kiasili zaidi kama ile siku?
![]()
nafikiri kama huwa unapitapita kule jukwaaa la siasa utamjua huyu kiumbe anatokwaga mapovu weeeee basi akikuudhi ushampatia kubwa na kule ndio mds wanapatoleaga macho asitukanwe dhaifu we acha tukunani tena na yule kiumbe?? Pole lakini!
Basi tinga hiki kivazi.... mambo ya khanga!aku leo sivai hivyo hata kidogo, si wajua mwezi mtukufu huu! Au wataka nizikwe mzima mzima?
Mtambuzi yeye anaendelea kunitag tuuu cacico, BADILI TABIA FirstLady1 gfsonwin Kaizer ruttashobolwa (mzee wakujificha pembeni) Rutashubanyuma Tuko Bishanga Preta charminglady King'asti The Boss Kongosho nilikuwa nimsahau SnowBall MadameX BAK..............NAWAMIS SANA SANA ILA nitarudi tena KAMA ZAMANI
ummu kulthum, platozoom Young_master oh nimewamiss wote pia sema mmekuwa wengi sana mpaka nasahau wengi wao tunakutana sana chit-chat na MMUkuna ubanguzi humu ishhh!si mgeni si mwenyeji si mpita njia nyie lazima mko frontpage kama kuna kitu mnatumia tupeni na sisi hayo maunjanja tuyatumie hata mybf platozoom hawakukutaja wapi shem wangu wa ukwee Young_master nawe pia umetemwa hukumbukwi kabisaaaa!hawa kuna kitu wanatumiaga sio bureeee...
ummu kulthum umeniua mbavu mchana kweupeeeeee eti Young_Master nawe hukumbukwi kabisaaaaaaaaaaa, khaaaaa umenichekesha sana, nimeizima nyota yake, aende kwa diamond akasafishwe tena lol, umenichekesha wallah!kuna ubanguzi humu ishhh!si mgeni si mwenyeji si mpita njia nyie lazima mko frontpage kama kuna kitu mnatumia tupeni na sisi hayo maunjanja tuyatumie hata mybf platozoom hawakukutaja wapi shem wangu wa ukwee Young_master nawe pia umetemwa hukumbukwi kabisaaaa!hawa kuna kitu wanatumiaga sio bureeee...
staki hiyo watanitania nimevaa nepi?? au hiyo hiyo maana si umeniambia leo ni mwendo wa wanzuki! au?Basi tinga hiki kivazi.... mambo ya khanga!
![]()
ummu kulthum, platozoom Young_master oh nimewamiss wote pia sema mmekuwa wengi sana mpaka nasahau wengi wao tunakutana sana chit-chat na MMU
ummu kulthum umeniua mbavu mchana kweupeeeeee eti Young_Master nawe hukumbukwi kabisaaaaaaaaaaa, khaaaaa umenichekesha sana, nimeizima nyota yake, aende kwa diamond akasafishwe tena lol, umenichekesha wallah!
staki hiyo watanitania nimevaa nepi?? au hiyo hiyo maana si umeniambia leo ni mwendo wa wanzuki! au?
ndo kupenda ummu kulthum lol, kwani naona basi mwenzio??kweli mapenzi kizungumkuti jamanii yaaan ww nawe unakunywa wanzuki siku izi?
kasafishe ndugu lol! habari ndio hiyo mjini hapa, shaurilo!eeeh kumbe!!shem tuanzishe safari ya kwenda kwa diamond tukacheki nyota
ndo kupenda ummu kulthum lol, kwani naona basi mwenzio??
Kushakuchwa jamani mkawapikid waume zenu futari e!