Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160

habari za jioni marafiki?nilikuwa kimya sana kwasababu nilisahau password lakini tupo pamoja sana
Pole aisee.sio amnesia mawazo mengi ndugu yangu

Punguza uzembe kijana, Next time kuwa makini, bora usahau namba yako ya simu, jinsia yako ama umri wako lakini si Username or password ya Jf. Karibu sana, tupo humu. Nyani ngabu, Mr.ChweChwe na Malaria Sugu pia wamekumic!
Thank you for making my day... for kweli nimecheka bila kutegemea..... Dah! PW umeipata wapi sasa??

habari za jioni marafiki?nilikuwa kimya sana kwasababu nilisahau password lakini tupo pamoja sana

jamani mbona nasikia malaria sugu kawa banned amerudi tena?

Karudi kwa kasi ya ajabu na threads zake, siku hz yupo sana jukwaa la siasa!

Mkuu! Nimeiingia pamoja nawe!
Haijapona, kwa sasa imehamia kichwani! Karibu usisahau tena P'word bana...unaona ulvyotumiss.nilimmiss sana,i hope malaria yake imepona

Haijapona, kwa sasa imehamia kichwani! Karibu usisahau tena P'word bana...unaona ulvyotumiss.
Mimi je? Yan nimekumiss mpaka nataka nije mpwapwa kwa mguu, ila usijali, nikipata nauli mpwapwa ntakufuata... Mi mzima wa afya mpendwa..

mi nimekumiss wewe.

Mimi je? Yan nimekumiss mpaka nataka nije mpwapwa kwa mguu, ila usijali, nikipata nauli mpwapwa ntakufuata... Mi mzima wa afya mpendwa..
Basi ntamwomba uporoto anipe lift kwenye kale kamkweche chake..

hahaha! Usije kwa miguu utatoka vigimbi. Lol!

Poa mpendwa kama upo mzima.