Nimewamiissssssss

Nimewamiissssssss

sahivi ana hammer utaweka kishoka. Lol
Hahaha... Ndo mana nilikumisi...amejiunga na freemasons au? Manake from mkweche to hammer kirahisi rahisi hivi daaah!..ukimwona mwambie namtafuta for GOOD!

uporoto wangu ameshinda bahati nasibu. Sahivi tunakula kuku kwa mrija, tunacheua yuro tu.

Hahaha!... Heri yenu mwacheua yuro!...hiyo bahati nasibu ilichezwa mpwapwa only au??..

bahati nasibu ya kimataifa. Halafu unajua kloro katuzulumu yuro zetu imebidi tumtimue jf.

sweetlady na husninyo hamjaonana kwa muda gani?

bahati nasibu ya kimataifa. Halafu unajua kloro katuzulumu yuro zetu imebidi tumtimue jf.
Hahaha! Kloro hajaacha tabia ya kudhulumu watu eh?.. Mi alinambia eti ameteuliwa na rais kusimamia kile kikosi cha uokoaji from South Africa...khaaa kumbe katimuliwa jf kwa kumtapeli uporoto hela za bahat nasibu?...

sahv anatengeneza id nyingine. Ukimuona member anaitwa panadol ujue ndio klorokwin.

Hahaha!... Mbavu zangu jamani!... Hajui dawa ya deni ni kulipa?..

ngoja niprint hii post yako nikamwoneshe.
Ukishindwa kumfikia, mpe the finest atamfikishia...wapo jirani, afu wote wanauza juice ya SAYONA..vibanda vyao vinatizamana.

hehehe! Ila the finest ameimprove anauza azam cola

Back
Top Bottom