CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hahahahaa sikupotelea kwenye lile tukio ndugu yangu bado nipo hai kabisa. Ila sie twafanya vibaya, na ujirani wote huo hata kutakiana hali jamani! charminglady
old school ya hapa inaanzia mwaka gani?
Hebu njoo kwakweli, ntakupa offer ya Sprite ya bariiidi (Cocacola si dini hairuhusu?) charminglady Lol!Mkui nisamehe bure... Inabidi nije kabisa Mkendo kukusalimia!
nadhani 2006... sisi wa kuanzia 2010> ni young school..
Daah! mkuu kitambo sana, Mambo vipi lakini? Nashukuru Mungu bado tupo hai, hao ulowataja nimewakumbuka pia. Hasa huyo namba ya kati Preta, sijui alinipa limbwata!, maanake simsahau kabisa hadi namuota. kuna na viumbe wengine pia nawakumbuka kila siku, Husninyo, na Mnyonge wangu Dena Amsi wakina bebii sikuhizi naona wanajiita Smile, yule popo bawa sijui anajiita Washawasha yaani watu mpaka basi. mia
Binti kamaliza JKT? Hongera zako nyingi kwa kazi nzuri ila uachane na hao MAFISIEM wanaidumaza akili yako.
Hebu njoo kwakweli, ntakupa offer ya Sprite ya bariiidi (Cocacola si dini hairuhusu?) charminglady Lol!
Dada Dena Mambo? Nimefurahi kukuona. miaHalafu wewe ngoja tu
Shikamoo dada Faiza. miaJF imebadilika, imebidi nianze kuwa mtazamaji, huingia mara moja moja kupiga chapuo.
Siwezi kukususa dada yangu. Nipo busy kidogo. Sana sana nakuombea baraka na fanaka kwa kila jambo ufanyalo. Nimekuweka moyoni dada yangu. Ukimya haumanishi kuktenga bali shughuli za kila siku zimetuweka mbalimbali. Tuzidi kuombeana. Miaumenisusa sana. mia