Nimewakumbuka, MMU Legends

Nami pia nimefurahi sn kuwaona baadhi ya marafiki wa siku nyingi humu ndani...namshukuru mleta mada Mbu kwa bandiko hili. Nadhani tufanye msako kama wote bado tupo hai. Sijajua ile hali ya anonimity inaendeleaje siku hizi huku JF. Lakini Kufikia leo hii kwa kiasi kikubwa mambo si kama zamani nadhani ni kutokana na teknolojia mpya zaidi kama za wazzap nk.
Yote katika yote, JF itabaki kuwa jukwaa la watu makini daima dumu.!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu

Well said.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu legends. . . . . . . uswahilini tunasema awali ni awali hakuna awali mbovu. . .historia imeshaandikwa na heshima yenu itakaa mahala pake daima dumu!!!!

Big up yardsticks. . . . . .!!!!
 

......pamoja sana mkuu wa Kambi ya Arusha, hahaha.....!
maisha yenyewe haya mnh? unaweza kuta kumbe kuna wenzetu wengi tumewaacha
miaka ya 2014 kurudi nyuma.....

Roll Call muhimu jamani. Kuna wakati humu nashtukia "fulani" ame LIKE naishia kujisemea
kumbe mwafulani bado yumo nae humu!

Ha ha ha .....kumbe watu mpo!:becky::becky:

.....duhh!? kiongozi kumbe nawe bado unadunda! Mungu ashukuriwe!
 
Reactions: Mbu
Last edited by a moderator:
hongera zao. hope washaanza kuota mvi sasa.

....dahhh, ziote mara ngapi? miaka hiyo (2006) aliyekuwa anaonekana kijana JF nzima alikuwa dogo mmoja kwa jina la "Shy!" pekee,....

Siku hizi ukifungua post mpya tu, au comment mpya unatambua "mwingine nae huyu,....!"
 
Poa mimi ndo nafunga office ya mkoloni...dipu ukifika:teeth:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…