Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

...mpaka leo zaidi ya wakenya nliokuwa najiuza nao ni mama tu anayejua, hata wadogo zangu hawajui kuwa nilijiuza

ila shosti what if akijajua tukiwa ndani ya ndoa nkaachika sii bonge la aibu????
shosti weee ukianza uongo unakuwa forever hata picha ikija unabisha .. usije jaribu kusema ukweli.. si kila ukweli utajenga
 
tatizo nimekuwa mtu wa dini na sipendi kuendelea kuwa muongo kama mama alivyonidanganya
pia kuna waschana wawili wakenya wanaishi hapa ARUSHA na tulifahamiana KENYA kwenye hotel

Auongei uongo ila umenyamaza..kwani umeulizwa?
 
Piga kimya ulifanya hyo biashara haramu c kwakupenda bali matatizo. Na biashara ulifanyia Nairobi si arusha labda kama ulikitembeza ad arusha hapo itakua noma.
tatizo baadhi ya wadada wa KENYA nliojiuza nao wamekuja kutafuta maisha ARUSHA na mbaya zaidi hawana kazi za uhakika so muda wowote maisha yakiwawia magumu wanaweza anza kujiuza na kunitaja kama mshirika wao nairobi
 
what if i keep it down as posibo ila akajajua baadae kupitia kwa wadada wakenya ambao wako hapa AR?

Acha woga kama hao wadada wana picha zako wakati mnafanya hayo mambo sawa ni bora ukamwambia mapema especially kama wanamjua huyo the guy, lakin kama hawana Evidence kaa kimya and for your own good treat 'em as strangers, sio kila wakati kweli ina muweka mtu huru there are conditions always tusikariri
 
heshima ya mwanamke ni ndoa. mwanamke bila kuolewa hajakamilika

jaman nataka kuolewa nilee watoto na familia yangu

Sasa ukitaka hayo nyamaza kufa na yako moyoni ukisema tu ndoa hataiona na ukiiona utaiona chungu
 
baada ya matatizo yote ya utotoni kwa sasa nimekuwa mpole sana
nilikuwa kiongozi wa vijana kanisani ila nlilazimika kuhama baada ya MKENYA MDADA flani kuanza kuhudhuria huduma ya hapa kanisani.
BF alinishangaa kwani nahama kanisa ninaloheshimika kwa namna nlivyowaongoza vijana na mchungaji aliingilia akinitaka nisihame....mwishowe nikahama kilazima mkaanza kusali kikanisa kidogo njee ya mji....nayaona maisha yangu yoote yamejaa uongo nateseka sana

Inaonekana umelea kovu ambalo ni Vigumu kufutika moyoni kwasababu ulifanya hiyo kazi kutokana na hali iliyokuwepo.....kwangu mimi naona ni bora utoboe ukweli kwanza kuiweka nafsi na moyo wako huru...pia naamini kwa jinsi ulivyo sasa hivi kiimani na mafanikio(elimu) sio Vigumu kwa mtu anaekupenda kushindwa kuendelea kukuamin
 
Yaan huyu aseme tu ukweli atajutaaaa,,watu hata wakikutwa wanakataa sembuse yaliyopitaaa kha!!!!!!
yani unadanganya na akija kujua unamwambia wanataka kuvunja ndoa yangu.... si kila uongo ni mbaya
 
mshikaji anavyonipenda na kuniamini sjui itakuwaje tukioana akiambiwa kuhusu tabia zangu za awali

Ukimuambia hayo sasa utamkatisha tamaa ,ukiwasogeza hao rafiki zako ndoa utaiona kwe TBC kwenye chereko
 
Back
Top Bottom