Habarini za siku wapendwa wote na members wa chit chat? Nilikuwa mbali nanyi bila kuwaaga,
mnisamehe kwa hilo,ila ni mwingiliano wa majukumu tu.
Nimewamiss sana na nawatakia heri ya x'mass wote.
Dah kweli mkuu ulipotea sana na karibu tena...
Awali ya yote nakusihi umachague charminglady kuwa Miss Chitchat wa 2012...mchakato huo wapatikana katika thread maalum katika ukurasa wa mbele wa chitchat...
Natanguliza shukrani!

Na an kumabor nyathiwa, Abiro pimoni...
Onge wach, nyaka agochni nyathiwa okanyal wei!!
Nashukuru sana mkuu..
Usijali mkuu zawadi yako ipo nitaku PM nikupe zawadi yako leo hii ili ufurahie vyema x-mass yako.
Dah kweli mkuu ulipotea sana na karibu tena...
Awali ya yote nakusihi umachague charminglady kuwa Miss Chitchat wa 2012...mchakato huo wapatikana katika thread maalum katika ukurasa wa mbele wa chitchat...
Natanguliza shukrani!
charminglady akishinda inabidi akufikirie kidogo. Lol!
Hadi jasho linakutoka.
Na an kumabor nyathiwa, Abiro pimoni...
Onge wach, nyaka agochni nyathiwa okanyal wei!!
Na nyie hivyo hivyo,!! Afu MERRY CHRISTMAS
charminglady akishinda inabidi akufikirie kidogo. Lol!
Hadi jasho linakutoka.
hahahah....mie ni daddy wake nafanya hivi kwa kuwa she's my daughter, familia kwanza...
halafu mpendwa fanya mambo basi, tusiangushane!
hehehe! Mtoto na baba mmewaza nini?