Nimewa miss ni aje?

Nimewa miss ni aje?

Asulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
719
Reaction score
252
Habarini za siku wapendwa wote na members wa chit chat? Nilikuwa mbali nanyi bila kuwaaga,
mnisamehe kwa hilo,ila ni mwingiliano wa majukumu tu.
Nimewamiss sana na nawatakia heri ya x'mass wote.
 
Dah kweli mkuu ulipotea sana na karibu tena...
Awali ya yote nakusihi umachague charminglady kuwa Miss Chitchat wa 2012...mchakato huo wapatikana katika thread maalum katika ukurasa wa mbele wa chitchat...
Natanguliza shukrani!
 
Ilal kure nyathiwa????? Ambe akwai... gochna wa uru Asulo.....
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana.. Zawadi zipo wapi?

Nashukuru sana mkuu..
Usijali mkuu zawadi yako ipo nitaku PM nikupe zawadi yako leo hii ili ufurahie vyema x-mass yako.
 
Last edited by a moderator:
Dah kweli mkuu ulipotea sana na karibu tena...
Awali ya yote nakusihi umachague charminglady kuwa Miss Chitchat wa 2012...mchakato huo wapatikana katika thread maalum katika ukurasa wa mbele wa chitchat...
Natanguliza shukrani!

nashukuru sa mkuu Watu8.
Ni lazima ni vote for her, siwezi mtosa dada yangu.
 
Dah kweli mkuu ulipotea sana na karibu tena...
Awali ya yote nakusihi umachague charminglady kuwa Miss Chitchat wa 2012...mchakato huo wapatikana katika thread maalum katika ukurasa wa mbele wa chitchat...
Natanguliza shukrani!

nashukuru sana mkuu watu8.

charminglady akishinda inabidi akufikirie kidogo. Lol!
Hadi jasho linakutoka.
 
hahahah....mie ni daddy wake nafanya hivi kwa kuwa she's my daughter, familia kwanza...
halafu mpendwa fanya mambo basi, tusiangushane!
 
hehehe! Mtoto na baba mmewaza nini?
 
Back
Top Bottom