mamy cute
Senior Member
- Nov 21, 2025
- 133
- 360
Watanzania tunapelekaga wazee timu za taifa stars alafu tunalalamika kupoteza huko mbele
Sijaelewa hiyo kampeni ya jihan na mis grand hivi kweli kwa miaka zaidi ya 10 hakuna warembo hapo katikati??
au vigezo vya hiyo miss grand ni nini
Zile ni picha tu zilizopigwa kwa camera bora na very edited ila kiuhalisia kazi na umri
mtakuja kulaumu organizer baadae lakini shuhuli inaanzia ndani humu..