Utakuwa mtu wa pili kuniunga mkono ninetembelea majiji yote lakini jiji la mwanza limekaa site kuanzia hali ya hewa,usafiri,maisha na mpangilio wa jiji
Imefunguliwa hivi majuzi..Villa ishafungwa kitambo
Mshamba huyo Hawa ndio siku wakipewa position kwenye maamuzi wanakuwa Viongozi wa kuweka machinga Barabarani.Dogo siwezi kupinga mtazamo wako wa kuona mwanza ni jiji la maana inaeweza kuwa ulitoka huko musoma vijijin Shinyanga huko sengerema ukamalizia maisha yako yote mwanza n lazma utaiona mwanza kama NewYork, panda hata ndege siku moja uone jins jiji lenu lilivyo la hovyo halina mpangilio
Tembeeni mtoe tongotongo.Unapadharau Sengerema na Shinyanga wewe kwenu wapi ? Tuanzie kwanza hapo ?
Tembeeni mtoe tongotongo.
Siku moja panda hata ndege uende hata hapo Cairo muone miji ya watu ilivyo , hiyo Mwanza utaona Kama uchafu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ungekuwa umefika walau Hata nchi moja ya ulaya usingekuja mbele za watu ukaanza kusifia uchafu wa mwanza mbele za wanaume wenzio.Cairo ndio kwenu. We mburula tu. Watu tumeenda mpaka nchi za Ulaya wewe unatuletea habari za Cairo hapa. Kajipange upya uje ujibu hoja za watu wenye akili.
Aisee una Bahati mkuu Villa pub imefunguliwa kilumba pale unapata burudani ya live band na samaki sato mkubwa ana kichwa Cha mtoto.
Ukimaliza request bolt nenda club elevate Malaika pale hutojuta kula hela yako .
Ukiagiza Hennessy inasindikwa na wadada watano wakalii ukimaliza unaondoka nao utajua utawapeleka
Nipo mwanza japo mgeni ila njoo inbox tubadilishane namba tule maisha ya jiji la mwanzaNiko nyumba ya tatu tu kutoka hapo Montana,Sauti ya Music wa Amy J night huwa inanikera sana..Mkuu kama hutojali weekend ya kesho tutafutane
Nenda mpaka Kilipo chuo cha SAUT ukifika huko chukua boda mwambie akupeleke WAg hill lodge and Spa....ukifika hapo hutatamani kurudi jiji la mashoga
Pumbavu Wivu wa Mwanza utakuua tumekwambia utueleze kwenu wapi unarukaruka tu. Mijitu mingine inwezekana unatokea Mamboya huko Nyau wewe.Ungekuwa umefika walau Hata nchi moja ya ulaya usingekuja mbele za watu ukaanza kusifia uchafu wa mwanza mbele za wanaume wenzio.
Una mengi ya kujifunza wewe mbulula. Ukute napoteza muda wangu na taahira liko udwekeni Buzuruga ndani ndani huko.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Jiji halina mataa Barabarani halafu unakuja kuleta ukichaa wako mbele za wanaume.Pumbavu Wivu wa Mwanza utakuua tumekwambia utueleze kwenu wapi unarukaruka tu. Mijitu mingine inwezekana unatokea Mamboya huko Nyau wewe.
Yaani kesho yake jamaa akafungua!Nilikuwa sijui kwahyo the cask imeungua afu villa park imerudi
Kwani spa Ni mpaka Màssage Tu au?Kuna nini boss, kwa ambao hatujaeah fanyiwa spa gharama zipoje vip na jamaa mfup wa msituni akisimama atapatiwa huduma??
Endelea kuvutiwa ila usisahau kwamba Kanda hiyo kuna balaa la laana ya kansa na zeruzeru 👇Habarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuelezea vile nimepata kujionea utofauti wa jiji la Mwanza tangu siku yangu ya kwanza tu kufika.
Safari ilikuwa ngumu mpaka nikajiuliza nina mkosi maana gari liliharibika mara tatu, hatimaye majira ya saa nane za usiku ndio nikafika Mwanza, Jiji nililokuwa nalisikia tu na kupata sifa nyingi ila sijawahi kufika.
Siku yangu ya kwanza niliona mambo mengi tafauti na Dar es salaam au jiji la Daudi. Watu wa Mwanza ni wakarimu mno ani ukimuuliza anaweza kukujibu vizuri, Makonda na Madereva daladala wako vizuri nilipanda daladala nakaribia kufika kituoni nikasimama akaniambia kaa mpaka gari lisimame ani nilishazoea Dar gari hata halijasimama vizuri utasikia konda anamwambia dereva twende.
Mwanza kuna mandhari nzuri na hali ya hewa safi. Navutiwa zaidi na mawe hasa yaliyo karibu na nyumba, unakuta nyumba imejengwa nyuma kuna bonge la jiwe..
Enewei nina wiki tu jijini Mwanza anayejua maeneo mazuri ya kuvutia maana napenda sana kutalii. Ahsanteni
KichWa bOX
Endelea kuvutiwa ila usisahau kwamba Kanda hiyo kuna balaa la laana ya kansa na zeruzeru [emoji116]
View attachment 2016418
View attachment 2016419
View attachment 2016420
Waulize wao mkuuSamaki wa Moshi ni chanzo cha saratani.Hapo walimaanisha nini mkuu?
Nimewauliza wakasema Ni mavi mkuu.Waulize wao mkuu