Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,626
- 5,785
Utaendaje mwanza bila kufika rocycity bwana emu nenda bwanaBado ndugu napasikia tu. Enhe vipi huko nako!
Utaendaje mwanza bila kufika rocycity bwana emu nenda bwanaBado ndugu napasikia tu. Enhe vipi huko nako!
Soksi haiepukiki kaka, siku hz wenye ukimwi ndio walionona ,ukitaka ufaidi na uenjoy lipime kwanzaDuh! Sikuhizi nachukia soksi kweli ani
Hahah ....unanikosha .....Weekend Car wash, Plazma,Diamonds, Bundasliga...
WASUKUMA ADIM SANA HUKU ,,,Duh! Kweli kazi kwangu! Sasa ngoj nitafute toto la kisukuma lililonona..
Upo wapi bibieUtakuwa mtu wa pili kuniunga mkono ninetembelea majiji yote lakini jiji la mwanza limekaa site kuanzia hali ya hewa,usafiri,maisha na mpangilio wa jiji
Nipo moshiUpo wapi bibie
Iko pande zipiUkiweza mkuu njoo pale Bonasera Lounge! Upate starehe yako huku unapulizwa kaupepo ka Ziwa Victoria! Hautajuta!!
Tumbukia kamanga ferry hapo upate vitu raw..Ndugu acha tu!! Ndo naulizia maeneo ya kwenda kuwafumania.
KichWa bOX
Niko nyumba ya tatu tu kutoka hapo Montana,Sauti ya Music wa Amy J night huwa inanikera sana..Mkuu kama hutojali weekend ya kesho tutafutaneHahah ....unanikosha .....
Babalao MONTANA LOUNGE from stand to hapo ni sekunde
Iko jirani kabisa na chuo cha benki kuu, yaani inatazamana na chuoIko pande zipi
Mkuu hivi Mwanza kuna night club zaidi ya elevate?nasikia zimekufa.LEMME HELP YO ....
1. ARMY J nite club
2.JEMBE NI JEMBE
3. MALAIKA BEACH
4. BLUE SKY LOuNGE
5.SAMANANE .
Hizo zinakutosha , utaenjoi adi uchanga nyikiweh ...
Ovah ....
Zipo nyingi tu mtu angu,,,ni wewe tu na pesa yako ...Mkuu hivi Mwanza kuna night club zaidi ya elevate?nasikia zimekufa.
Hahah njoo pm mtu angu.....Niko nyumba ya tatu tu kutoka hapo Montana,Sauti ya Music wa Amy J night huwa inanikera sana..Mkuu kama hutojali weekend ya kesho tutafutane
Usihangaike kwenda green city ...Mwanza na mbeya n majiji na wish siku moja nifike