Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

Aisee una Bahati mkuu Villa pub imefunguliwa kilumba pale unapata burudani ya live band na samaki sato mkubwa ana kichwa Cha mtoto.

Ukimaliza request bolt nenda club elevate Malaika pale hutojuta kula hela yako .

Ukiagiza Hennessy inasindikwa na wadada watano wakalii ukimaliza unaondoka nao utajua utawapeleka wapi.

Cask iliungua ila bado Ni ya Moto pale Kuna kila binadam Ni mfuko wako.
Hapo kwenye Hennessy ndo pamenigusa vilivyo.. Hao wadada dooh!!

KichWa bOX
 
LEMME HELP YO ....

1. ARMY J nite club
2.JEMBE NI JEMBE
3. MALAIKA BEACH
4. BLUE SKY LOuNGE
5.SAMANANE .
Hizo zinakutosha , utaenjoi adi uchanga nyikiweh ...

Ovah ....
 
Habarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuelezea vile nimepata kujionea utofauti wa jiji la Mwanza tangu siku yangu ya kwanza tu kufika.
Safari ilikuwa ngumu mpaka nikajiuliza nina mkosi maana gari liliharibika mara tatu, hatimaye majira ya saa nane za usiku ndio nikafika Mwanza, Jiji nililokuwa nalisikia tu na kupata sifa nyingi ila sijawahi kufika.
Siku yangu ya kwanza niliona mambo mengi tafauti na Dar es salaam au jiji la Daudi. Watu wa Mwanza ni wakarimu mno ani ukimuuliza anaweza kukujibu vizuri, Makonda na Madereva daladala wako vizuri nilipanda daladala nakaribia kufika kituoni nikasimama akaniambia kaa mpaka gari lisimame ani nilishazoea Dar gari hata halijasimama vizuri utasikia konda anamwambia dereva twende.
Mwanza kuna mandhari nzuri na hali ya hewa safi. Navutiwa zaidi na mawe hasa yaliyo karibu na nyumba, unakuta nyumba imejengwa nyuma kuna bonge la jiwe..

Enewei nina wiki tu jijini Mwanza anayejua maeneo mazuri ya kuvutia maana napenda sana kutalii. Ahsanteni


KichWa bOX
Ulijiuliza waliojenga nyumba juu ya mawe wanajisaidia wapi?maana huwezi kuchimba choo juu ya mawe
 
Wavuta bangi wapo ila hawana muda na mali yako
Wanamind ishu zao
Duh! Kuna sehemu nilipelekwa nikaambiwa wavuta bangi wapo ila hawawezi kukukaba ani unaweza pita unachezea simu hata usiku na ukawa salama tu.
 
Back
Top Bottom