Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

Wale totoz za plazma bado mwendo ni uleule sket uref wa penseli dah long time
Lilikua chimbo langu wkend
Kwa sasa kawaida tu Mkuu sio Kama mwanzo,kuna kipindi ukienda unapata burdani mbili kwa wakati mmoja kinywaji na totoz sio mchezo..sasa uchumi umeyumba watu wanaenda kimazabe
 
Mwanza ilikuwa inasifiwa nikatia team siku moja sikuamini nilichoona.

Milima mizuri imejaa mawe mazuri ila vijumba vya kimasikini ndio vimejazana milimani vinaharibu view ya mji.

Pamekaa kilocal tu sikupaelewa.

Wewe nyumba yako unayoishi ya kitajiri Ni ya ghorofa ngapi fogo?
 
Utakuwa na chuki zako binafsi au utakuwa huijui Mwanza wewe kwa kuanzia napenda kujua ulifikia mtaa gani?
Kijana kunywa maji kwanza!

Nimlifikia isamilo hotel nilikaa zaidi ya mwezi.

Mara nyingine nilifikia Bwiru karibu na Andrew Chenge.

Mwanza sijawahi kupaelewa sehemu pekee ambazo huwa nikifika na enjoy ni Arusha na Morogoro, Forest Hill.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hizi comments kwenye uzi huu ngoja nianze kuweka kibubu kidogo kidogo,msimu wa sikukuu nitie timu jiji la miamba....nije nisafishe macho tunaokaa vijijini tunakosa mengi.
 
Mwanza ukisimuliwa mtandaoni na ukifika ni vitu viwili tofauti jiji limekaa kishamba sana watu wanakaa mapangoni
Ulilazimishwa kwenda? Acha chuki binafsi, ebu tueleze jiji la kijanja huwa linakaaje au unazani, wizi, ubakaji, maneno mengi, utapeli usio na maana ndio ujanja??
 
Dogo siwezi kupinga mtazamo wako wa kuona mwanza ni jiji la maana inaeweza kuwa ulitoka huko musoma vijijin Shinyanga huko sengerema ukamalizia maisha yako yote mwanza n lazma utaiona mwanza kama NewYork, panda hata ndege siku moja uone jins jiji lenu lilivyo la hovyo halina mpangilio
 
Au unazani Arusha au Dar ukipanda ndege ndio huwa yanaonekana kama newyork au jiji la Tokyo? Majiji yetu yote yapo unplanned na maslum ndio yamejaa, nimekuuliza niambie kwanza umetoka mji gani au jiji gani?
 
Habarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuelezea vile nimepata kujionea utofauti wa jiji la Mwanza tangu siku yangu ya kwanza tu kufika.
Safari ilikuwa ngumu mpaka nikajiuliza nina mkosi maana gari liliharibika mara tatu, hatimaye majira ya saa nane za usiku ndio nikafika Mwanza, Jiji nililokuwa nalisikia tu na kupata sifa nyingi ila sijawahi kufika.
Siku yangu ya kwanza niliona mambo mengi tafauti na Dar es salaam au jiji la Daudi. Watu wa Mwanza ni wakarimu mno ani ukimuuliza anaweza kukujibu vizuri, Makonda na Madereva daladala wako vizuri nilipanda daladala nakaribia kufika kituoni nikasimama akaniambia kaa mpaka gari lisimame ani nilishazoea Dar gari hata halijasimama vizuri utasikia konda anamwambia dereva twende.
Mwanza kuna mandhari nzuri na hali ya hewa safi. Navutiwa zaidi na mawe hasa yaliyo karibu na nyumba, unakuta nyumba imejengwa nyuma kuna bonge la jiwe..

Enewei nina wiki tu jijini Mwanza anayejua maeneo mazuri ya kuvutia maana napenda sana kutalii. Ahsanteni

KichWa bOX
Picha vipi?
 
Unapadharau Sengerema na Shinyanga wewe kwenu wapi ? Tuanzie kwanza hapo ?

Back
Top Bottom