Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

Kati ya huduma za Mwanza tofauti na majjiji mengine ni pale unapofika stand au airport ukakaribishwa na mwenye guest/hotel anakutajia bei ya chumba, anakupeleka kwa gari la kampuni free of charge na siku ya kurudi stand au airport anakurudisha free of charge.
 
Kwa hilo ni sawaa mkuu..kuna mitaa kama liberty ilikuwa kero sanàa...ila ukipita ss iv unakuwa comfortable sanaa...kpnd cha nyuma hapo yani ilikuwa ni hatar sanaa kwa usalama wako maana pkpk ilikuwa inakuja kupigia honi kweny miguu bila kuiona

Hatari mno chief wangu, hapo liberty napajuwa vizuri mno,,, angalau kwa sasa mji utaonekana.
 
Hayo Mawe siku yakiporomoka kutoka milimani si yatakuja kuharubu nyumba? Napasikia tu Capripoint,Igoma etc

Bwana King,,,,hayo mawe siyo ya leo, wazee we2 wamezaliwa na kuyaacha yako vilevilr, adi cc tumeingia na kuyakuta na 2tayaacha na wengine watakuja na kuyaacha yako vilevile. Mungu ni mkubwa
 
Habarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuelezea vile nimepata kujionea utofauti wa jiji la Mwanza tangu siku yangu ya kwanza tu kufika.
Safari ilikuwa ngumu mpaka nikajiuliza nina mkosi maana gari liliharibika mara tatu, hatimaye majira ya saa nane za usiku ndio nikafika Mwanza, Jiji nililokuwa nalisikia tu na kupata sifa nyingi ila sijawahi kufika.
Siku yangu ya kwanza niliona mambo mengi tafauti na Dar es salaam au jiji la Daudi. Watu wa Mwanza ni wakarimu mno ani ukimuuliza anaweza kukujibu vizuri, Makonda na Madereva daladala wako vizuri nilipanda daladala nakaribia kufika kituoni nikasimama akaniambia kaa mpaka gari lisimame ani nilishazoea Dar gari hata halijasimama vizuri utasikia konda anamwambia dereva twende.
Mwanza kuna mandhari nzuri na hali ya hewa safi. Navutiwa zaidi na mawe hasa yaliyo karibu na nyumba, unakuta nyumba imejengwa nyuma kuna bonge la jiwe..

Enewei nina wiki tu jijini Mwanza anayejua maeneo mazuri ya kuvutia maana napenda sana kutalii. Ahsanteni

KichWa bOX
Wavuta bangi na wanywa banana watakuja kuharibu Hali ya hewa kwenye huu uzi
 
Usisahau kufika Wag hill imekaa kama ushoroba ndogo
 
Mwanza ilikuwa inasifiwa nikatia team siku moja sikuamini nilichoona.

Milima mizuri imejaa mawe mazuri ila vijumba vya kimasikini ndio vimejazana milimani vinaharibu view ya mji.

Pamekaa kilocal tu sikupaelewa.
 
Utakuwa na chuki zako binafsi au utakuwa huijui Mwanza wewe kwa kuanzia napenda kujua ulifikia mtaa gani?
 
Nasisitiza kama unachuki zako binafsi juu ya mji fulani ata ukienda huwezi kuona mazuri ya eneo hilo,kuna watu wapo pia wanaosema kuwa new york ni mbaya kwasababu zao binafsi, chuki za miji tuziweke pembeni.
 
Usisahau kufika visiwani pia mkuu, uje nikutembeze kidogo bado nipo pande hizi za mwanza(ukerewe) ..
 
Nasisitiza kama unachuki zako binafsi juu ya mji fulani ata ukienda huwezi kuona mazuri ya eneo hilo,kuna watu wapo pia wanaosema kuwa new york ni mbaya kwasababu zao binafsi, chuki za miji tuziweke pembeni.
True facts
 
Back
Top Bottom