Kwa msisi yetu
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 827
- 1,411
Wapi totoz za maana nitakuja siku moja kutalii tu
Bro mi naongelea night club,sio pub au barZipo nyingi tu mtu angu,,,ni wewe tu na pesa yako ...
[emoji654]THERE IS NIGHT CLUB MORE THAN 2000
so power to you ma men.
Mkuu huko ndo panakufaa we tuachie Dar yetu saizi tunataka kujenga flyover Mbezi kuongeza mishemisheHabarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuelezea vile nimepata kujionea utofauti wa jiji la Mwanza tangu siku yangu ya kwanza tu kufika.
Safari ilikuwa ngumu mpaka nikajiuliza nina mkosi maana gari liliharibika mara tatu, hatimaye majira ya saa nane za usiku ndio nikafika Mwanza, Jiji nililokuwa nalisikia tu na kupata sifa nyingi ila sijawahi kufika.
Siku yangu ya kwanza niliona mambo mengi tafauti na Dar es salaam au jiji la Daudi. Watu wa Mwanza ni wakarimu mno ani ukimuuliza anaweza kukujibu vizuri, Makonda na Madereva daladala wako vizuri nilipanda daladala nakaribia kufika kituoni nikasimama akaniambia kaa mpaka gari lisimame ani nilishazoea Dar gari hata halijasimama vizuri utasikia konda anamwambia dereva twende.
Mwanza kuna mandhari nzuri na hali ya hewa safi. Navutiwa zaidi na mawe hasa yaliyo karibu na nyumba, unakuta nyumba imejengwa nyuma kuna bonge la jiwe..
Enewei nina wiki tu jijini Mwanza anayejua maeneo mazuri ya kuvutia maana napenda sana kutalii. Ahsanteni
KichWa bOX
Hahah njoo pm mtu angu.....
Au tukutane weekend kwenye live band ( army nenda villa park
Pale Diamond na pisi yangu kali nimekuta WAMEIPURAAisee una Bahati mkuu Villa pub imefunguliwa kilumba pale unapata burudani ya live band na samaki sato mkubwa ana kichwa Cha mtoto.
Ukimaliza request bolt nenda club elevate Malaika pale hutojuta kula hela yako .
Ukiagiza Hennessy inasindikwa na wadada watano wakalii ukimaliza unaondoka nao utajua utawapeleka wapi.
Cask iliungua ila bado Ni ya Moto pale Kuna kila binadam Ni mfuko wako.
P0le mkuuPale Diamond na pisi yangu kali nimekuta WAMEIPURA
Ukilipima leo, usubiri mpaka miezi mitatu ipite, ilipime tena, kama litakuwa salama, ndipo uanze ku-do nalo........tehe tehe the teh.......Soksi haiepukiki kaka, siku hz wenye ukimwi ndio walionona ,ukitaka ufaidi na uenjoy lipime kwanza
Nenda bonasera pub,pita tilapia hotel na malaika hotel,pia usisahau kwenda tunza beach,na diamond pub na villa park,tembelea igogo,nenda bugando hospital na chuo cha saut nyegeziHabarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuelezea vile nimepata kujionea utofauti wa jiji la Mwanza tangu siku yangu ya kwanza tu kufika.
Safari ilikuwa ngumu mpaka nikajiuliza nina mkosi maana gari liliharibika mara tatu, hatimaye majira ya saa nane za usiku ndio nikafika Mwanza, Jiji nililokuwa nalisikia tu na kupata sifa nyingi ila sijawahi kufika.
Siku yangu ya kwanza niliona mambo mengi tafauti na Dar es salaam au jiji la Daudi. Watu wa Mwanza ni wakarimu mno ani ukimuuliza anaweza kukujibu vizuri, Makonda na Madereva daladala wako vizuri nilipanda daladala nakaribia kufika kituoni nikasimama akaniambia kaa mpaka gari lisimame ani nilishazoea Dar gari hata halijasimama vizuri utasikia konda anamwambia dereva twende.
Mwanza kuna mandhari nzuri na hali ya hewa safi. Navutiwa zaidi na mawe hasa yaliyo karibu na nyumba, unakuta nyumba imejengwa nyuma kuna bonge la jiwe..
Enewei nina wiki tu jijini Mwanza anayejua maeneo mazuri ya kuvutia maana napenda sana kutalii. Ahsanteni
KichWa bOX
Karibu sana jiji letu la Mwanza..Habarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.

Hapo chuo cha Saut kuna pisi kali eh!!Nenda bonasera pub,pita tilapia hotel na malaika hotel,pia usisahau kwenda tunza beach,na diamond pub na villa park,tembelea igogo,nenda bugando hospital na chuo cha saut nyegezi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kuna njia za maji machafu chief! Vyoo vingi maeneo hayo ya mawe ni vya kuflash then mzigo unaingia kwenye system ya maji taka kuna mabomba yametandazwa...Ulijiuliza waliojenga nyumba juu ya mawe wanajisaidia wapi?maana huwezi kuchimba choo juu ya mawe
Chimbo katikati ya mji panaitwa Royal Pub. Imezungukwa na guest/lodge/hoteli za shinyanga,kahungwa,chrismas tree,clevaland,rehema ya Mungu,mtera nk. Hata wa buku 4, unasuza rungu unasepa. Hakuna mbunye classic zote sawa tu.Habarini za muda huu nduguzangu wa Jamii Forum.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuelezea vile nimepata kujionea utofauti wa jiji la Mwanza tangu siku yangu ya kwanza tu kufika.
Safari ilikuwa ngumu mpaka nikajiuliza nina mkosi maana gari liliharibika mara tatu, hatimaye majira ya saa nane za usiku ndio nikafika Mwanza, Jiji nililokuwa nalisikia tu na kupata sifa nyingi ila sijawahi kufika.
Siku yangu ya kwanza niliona mambo mengi tafauti na Dar es salaam au jiji la Daudi. Watu wa Mwanza ni wakarimu mno ani ukimuuliza anaweza kukujibu vizuri, Makonda na Madereva daladala wako vizuri nilipanda daladala nakaribia kufika kituoni nikasimama akaniambia kaa mpaka gari lisimame ani nilishazoea Dar gari hata halijasimama vizuri utasikia konda anamwambia dereva twende.
Mwanza kuna mandhari nzuri na hali ya hewa safi. Navutiwa zaidi na mawe hasa yaliyo karibu na nyumba, unakuta nyumba imejengwa nyuma kuna bonge la jiwe..
Enewei nina wiki tu jijini Mwanza anayejua maeneo mazuri ya kuvutia maana napenda sana kutalii. Ahsanteni
KichWa bOX
Mwanza na Arusha ni vitu tofauti kila semehu na TESTI YAKEKwanza kuzuri nilienda mpaka malaika resort ni hatari mzee hyo Arusha bado sana