Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,548
Hata kuku anazo!.
Sawa kuku!
Hata kuku anazo!.
Sawa kuku!
Wasi wasi nao wakat mwingne unasaidia( kwa wale walinzi na wanausalama huwa mara nyingi wanatanguliza wasiwasi kwa kila akionacho hakiko sawa) na je akiridhika akakaa kimya wakat mtoto sio wake?
Kijana unaonekana wewe ni mtu wa kufuga wasiwasi na mashaka...
Ukianza kujiuliza maswali kama hayo utaishia kuishi bila amani...
Hivi hata tukikuuliza kuwa una uhakika huyo mwanao wa kwanza ni wako kweli utakuwa na jibu gani?
Lea mimba hiyo usije ukaishia kupata dhambi ya kukataa mtoto na hatimaye mwanenu kuishi akisumbuliwa na roho ya kukataliwa...
Inategemea wengine hawastuki kama wajawazito mpaka miezi hata mitano na wengine mpaka siku ya kujifungua ndio wanastuka
Nadhani unachanganya kati ya wasiwasi (worry) na machale (sixth sense)...
Wanausalama hutumia hisia ya sita au machale na sio wasiwasi...
Pia jiulize je akimpima huyo mtoto na kugundua ni wake?
Ngoja nikwambie kitu inawezekana mtoto siwako au wako1inawezekana mkeo alibeba mimba ck anaondoka naakawa anablid bilakujua ana mimba 2,au nikweli mimbasiyako kapime iliuwe nauhakika ndouchukue maamzi.hatahivyo kitanda hakizai haramu huenda aliteleza mlize kwaupole namwbie iwapo utakua mkweli nitakusamehe mbona nyinyi wanaume mnatulitea watt tunalea namaisha yanaenda?iweje ss?jipe ujasiri tunza siri zandani mwako usijechekwa na ndugu jamaa na marafiki wewe nimwanaume tatua tatizo usiongeze.unaweza muacha ukaoa mwingine akawa malay san ,mkorofi au mshirikina akakuwekea limbwata ukawa zezeta.kua mvumilivu fanyamaamzi sahihi usije kujuta nilicho jifunza kwako umkali san mamboyaka unataka watu ndowayatatue mfano nihapo ulipo kimbilia kwamchingaji pole.