Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Fanya zoezi moja nunua panga kila siku asubuhi ukiamka unalinoa alafu uniliweka somewhere unalifungia hazipiti siku 3 utarudi home hutamkuta nakwambia.

we bwana mkali, kuna jamaa alimkamata mkewe ugoni baada ya mtego alomuwekea basi baada ya tukio jamaa akumgusa wala hakufanya fujo na hakumuuliza mwanamke akaja home jamaa kimya yuko tu normal ikapita wiki mwanamke alisepa mwenyewe bila kufukuzwa.
 
DNA will talk the talk.tena kapime wote wawili kama na huyo wa kwanza unaona hamfanani. Kama mungu binadamu tumeshindwa kukamilisha malengo yake hiwe pastor?
 
Pole sana kiongozi, ila jamii ya leo naona kama tuna Tatizo kubwa linalotukabili. Tatizo ulilonalo sioni kama ni kubwa kiasi hicho, maana kinachotakiwa hapo ni kwenda kupima vinasaba na baadae mengine yanafuata. Sasa unavyojiapiza hivi vinasaba vikionyesha mtoto ni wako itakuwaje?
 
Unachekesha unadhan angekiri kuwa emezini? Tumia japo akili kidogo oh sorry kitanda hakizai haramu?!
 
wakati mnachukuana mchungaji alishirikishwa?? au baada ya kuona maji yapo shingoni?, mlifunga ndoa? je,na ww hujawah kuchepuka wakati ukiwa nae? huyo mchungaji mlyeenda kwake na ameshindwa kujua kama ni kweli wa wapi huyo?? unaweza kwenda kupima iyo dna, au ww mpeleke tu kwa mchungaji alye vzr na mungu atamuumbua tu.
By Pastor E.K
 
Inawezekana kabisa huyu mtoto ni wako maana umesema mkeo aliondoka June mwishoni. Si ajabu wakati anaondoka alikuwa tayari ni mja mzito hakustukia mpaka aliporudi na ukahesabu kuanzia huo mwezi wa June mpaka alipojifungua hiyo March ni miezi tisa. Kama una wasiwasi si vibaya kupima DNA lakini mwangalie mtoto kama ana kitu ambacho anashabihiana nawe kwa mfano kucha za vidole vya mikono na miguu basi unaweza kupotezea tu badala ya kuendelea kumshinikiza mkeo kwamba si ajabu amegegedwa na njemba alipokuwa safarini. Kila la heri kama hutajali usikose kupita mtaa huu kuleta mrejesho kama mtoto ni wako au la.

ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.
mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.
tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.
baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.
nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.
alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time. hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.
 
Jamani, Why always women, women , women . I just Dont get it . Uuuhhghh . Pole sana kwa yaliyokusibu . Just take DNA Test thats it . But also try to use wisdom on your final decision . Remember Jesus can forgive so many times why cant you? But also when you forgive it does not mean you forget right away for what your wife did ( if its true she cheated ) It takes a process to heal . My dear pole kwa unayopitia . Mungu akutie nguvu . Thanks ..
 
Kijana unaonekana wewe ni mtu wa kufuga wasiwasi na mashaka...

Ukianza kujiuliza maswali kama hayo utaishia kuishi bila amani...

Hivi hata tukikuuliza kuwa una uhakika huyo mwanao wa kwanza ni wako kweli utakuwa na jibu gani?

Lea mimba hiyo usije ukaishia kupata dhambi ya kukataa mtoto na hatimaye mwanenu kuishi akisumbuliwa na roho ya kukataliwa...
 
wakati mnachukuana mchungaji alishirikishwa?? au baada ya kuona maji yapo shingoni?, mlifunga ndoa? je,na ww hujawah kuchepuka wakati ukiwa nae? huyo mchungaji mlyeenda kwake na ameshindwa kujua kama ni kweli wa wapi huyo?? unaweza kwenda kupima iyo dna, au ww mpeleke tu kwa mchungaji alye vzr na mungu atamuumbua tu.
By Pastor E.K

Sasa keshakuambia ni mkewe kwani hukusoma vizuri kwenye mada yake Pastor E.K?
 
Unauhakika kabla haja safiri mwezi wa sita hujawahi mgegeda? Tulia anza kufuatilia nyendo zake kama alichepuka au huwa anachepuka utajua tu.
 
Mi mwenyew nimegombana na majiran walijua nambaka mwana wao akapata ujauzito lakini nkihesabu mwezi aliotoka kwang na aliojifungua ni 11 nimegoma kudeclare interest na mpaka leo hatusalimiani na familia isipokua dem mwenyew ambae tunaendelea kupiga mech za kirafiki na nkimuulza mtoto vip anacheka afu ananiambia alizidisha mwez mmoja nyooo nkajua mwongo kwan yeye anaujauzito wa tembo manaake tembo ndo anazaa adi 2 years. Sasa mkuu angalia kama mtoto mnafanana then kathibitishe na DNA nna uhakika mkeo kakuona boya ndo maana kabisha hata mbele ya mchungaj ukijua tu mwambie akale alikopeleka mboga
 
Cha ajabu kipi hapo? Inawezekana aliondoka na ujauzito usiku ule mlioagana.
Ni vile tu hakuona dalili mapema.
Nina hakika DNA itaonesha mtoto ni wako.
Ingawaje shaka ya huyu bwana huenda ni kama mimba ilitungwa (na yeye) mwezi huo wa 6 ni kwa nini huyo mkewe hakuziona hizo dalili kwa mwezi wote alipokuwa safarini aje azione wiki mbili baada ya kurudi?.Kingine ni kwamba huenda kwa mwezi huo wa 6 jamaa hakuwahi kula mzigo. Vinginevyo infertility inamhusu! Nakubali DNA test, kama ulivyoshauri hapa, ndiyo jibu mujarabu kwa tatizo lake
 
Inawezekana kabisa huyu mtoto ni wako maana umesema mkeo aliondoka June mwishoni. Si ajabu wakati anaondoka alikuwa tayari ni mja mzito hakustukia mpaka aliporudi na ukahesabu kuanzia huo mwezi wa June mpaka alipojifungua hiyo March ni miezi tisa. Kama una wasiwasi si vibaya kupima DNA lakini mwangalie mtoto kama ana kitu ambacho anashabihiana nawe kwa mfano kucha za vidole vya mikono na miguu basi unaweza kupotezea tu badala ya kuendelea kumshinikiza mkeo kwamba si ajabu amegegedwa na njemba alipokuwa safarini. Kila la heri kama hutajali usikose kupita mtaa huu kuleta mrejesho kama mtoto ni wako au la.

Mkuu hapa unampa moyo tu. Angeondoka na mimba, wiki 8 alizokuwa safari angeshalijua hilo na angemfahamisha akiwa huko huko au mara tu baada ya kurudi. Hii ya kusubiri wiki 2 baada ya kurudi ndo amfahamishe inaelezea janja ya mwanamke. Kwa picha hii kuna uwezekano mdogo sana hii ikawa ni mimba ya mume wa ndoa.
 
mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon.

nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.
Duuuh hapo hata DNA haihitajiki(majibu yapo wazi), lakini lea tu huyu mtoto kama bado wampenda mkeo, kuchapiwa ni siri ya ndani mkuu
 
Back
Top Bottom