sijaelewa hapa chifu🤣🤣🤣Nikaogopa sana, nikaanza kuhisi labda nimeletwa pale ili nigongwe na ule msukule. Nikawa nina mawazo mengi sana,
Damu ya mtu huwezi pewa kizembe zembeKuna mlokole hapa kasema hizo pombe mlizokunywa hazikuwa pombe bali ni damu za watu 😁😁😁
Wanapewaje, nadhani utaratibu wake unaujua. Tiririka kidogo mkuu.Damu ya mtu huwezi pewa kizembe zembe
Ni kweli mzeeBujibuji hii ni kweli Au ni utunzi?
Pole yako mkuu hii ni danger. Nenda kaombeweNi kweli mzee
Bwana ehh kweli aisee, ile nyumba ni balaa, milango ya fingerprintKwanza una bahati kutoliwa Tigo, unaingiaje vyumbani kwa strangers na kukubali kuhongwa.
Bwana ehh kweli aisee, ile nyumba ni balaa, milango ya fingerprintKwanza una bahati kutoliwa Tigo, unaingiaje vyumbani kwa strangers na kukubali kuhongwa.
Siendi aiseee, nisije chunwa ngozi. Jamaa anasisitiza RAFIKI YAKO ANAKUPENDA SANA, YAANI ANAKUPENDA KWELIKWELIkwanini usimalizie na ITAENDELEA JUMAMPILI.