Ukipointiwa mbona utapewa?Damu ya mtu huwezi pewa kizembe zembe
Ukipointiwa mbona utapewa?Damu ya mtu huwezi pewa kizembe zembe
Kama sijaelewa ...Ukipointiwa mbona utapewa?
Sasa niende wapi, kwa Mwamposa?Uandikayo yanaweza kuwa kweli asilimia mia moja usione watu wanaishi maisha mazuri mjini wana mambo ya ulimwengu mwingine asikuambie mtu yaani usimuliwe na mtu yasikukute ila nakushauri kama wewe ni Mkristo hizo hela zitakase kwa damu ya Yesu uachane na hayo maagano huwezi jua huko mbeleni atajakukufanyia nini sali sana shetani asipate nafasi
Inawezekana kabisa alifanyiwa kiini macho na saa zingine huyo mdada aliyesema alimfungulia mlango nae ni msukule hakuna mfanya maagano wa namna hiyo atakae kubali mtu baki yani mdada wa kazi au kijana ajue siri zake za ndani lazima atazitoa tu hao ndio wale watoto unasikia mtoto kapotea labda ama miaka miwili sijui mitano ndio wanaokuja kufanya shughuli hizi na wanakuwa weshapumbazwa kiakili ndio maana tunaambiwa Kesheni mkisali kwa vile mwovu yupo macho nyakati zote akituwindaKuna mlokole hapa kasema hizo pombe mlizokunywa hazikuwa pombe bali ni damu za watu [emoji16][emoji16][emoji16]
AsanteKukusaidia Nenda kanisa la eagt city center kwa pastor katunzi kwa ajili ya maombezi kanisa lipo njia ya mbagala reli inapita juu kushoto ukitokea town atakusaidia kwa maombi ni muombaji wa kweli sio fake pastor.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Aaaa wapi nenda kwenye Ibada yako uliyokuwa ukiiamini toka mwanzoSasa niende wapi, kwa Mwamposa?
Te amoNdo ukome, atakukoma fijo.
Kwa vitu vya ajabu kuvishuhudia unaweza kuvichukulia simple kama hivyo?Ushaambiwa rafiki yako hofu ya nini mkuu
Bujibuji njoo PM unipe hela kidogo Mimi kwenye hii story nimeelewa tu hapo ulipopewa hiyo mipunga ya kutisha.Sina hamu na utajiri aisee
Bujibuji njoo pm unipe hela kidogo Mimi kwenye hii story nimeelewa tu hapo ulipopewa hiyo mipunga ya kutisha