Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

Wengi walissha kufa kimasikini.
Kuna waliotajirika kimazingara miaka ya 60 na 70.
Walinunua malori, mabasi na biashara nyingine.
Lakini biashara za mapepo hazijawahi kudumu.
Kuna jamaa yetu ghafla kanunua eneo kubwa sana Kigamboni, kashisha semi trucks zaidi ya 100. Hiyo ilikuwa mwaka jana mwishoni.

Mwaka huu wamekufa watoto wake wawili kwenye mazingira ya kustaabisha. Mtoto mmoja aligongwa na baba yake akirudisha gari nyuma.

Mwingine alizama swimming pool wakiwa vacation Zanzibar
 
Back
Top Bottom