Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,947
- 5,719
Hapa siwezi kumlaumu mwanamke, bali nakulaumu wewe. Jamaa acha nikuite mjinga, tena wa grade ya juu. Hiko ndiyo ulichokuwa unataka kuona kinatokea, na si kwamba ulifanya bahati mbaya.
Ulishaambiwa ana mchumba toka mwanzo, amekuwekea ngumu na hadi amekutajia mchumba wake ni nani. Kama alifikia huku uliendelea kukomalia ili iweje? Kama si kumvurugia.
Sote tunajua mwanamke ana moyo wenye udhaifu, ukiendelea kumsumbua hulainika. Na ndiyo ulikifanya hiko, kusudi umpindue jamaa. Ila ukweli huyo binti hakupendi, hata huko kuja kwake. Inaonekana wazi wewe ndiyo king'ang'anizi, kakubali kishingo upande tu.
Usitegemee utakuja kuwa na furaha naye, wakati uliivunja furaha yake. Jiandae huyo aliyevunja uchumba, kuwa mchepuko wake kama ukimuoa. Ili ulipie ujinga wako
Hiyo ni kweli, hakuna upendo hapo. Ni yeye anayelazimisha mapenziHuyu nishamwambia hawez kumuoa huyo bint na hata akimuoa hawatadumu
Lipa mahari oa.Na mm moyo wangu umefika kwake
Hiyo ni kweli, hakuna upendo hapo. Ni yeye anayelazimisha mapenzi
That's goodMm nataka kumuoa binti
Anachotakiwa kufanya ni kuongea na mwanaume mwenzie, amuunganishe na binti kisha achape lapa.Huyu jamaa alishakosea la msingi amtafute mwanaume! Maana akienda kwa bint watamuona boya sana maana hafahamik huko kama jamaa na hawatampenda maana katia familia doa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masaa manne,Dsm_Lindi kwa gari ndogo.
Nyie ndo mnasema ni majirani?
Huenda ikawa Ni couple ya kuigwa.Huyu nishamwambia hawez kumuoa huyo bint na hata akimuoa hawatadumu
Huenda ikawa Ni couple ya kuigwa.
Mi naona huyu alikuwa na upendo wa kweli....upendo usio sababu eti mchumba wa mtu...moyo hauchagui kwa kupenda ...unaweza penda hata kwa mume au mke wa mtu au hata padre...ha ha ha ha ukiona unachagua ujue sio Pendo la kweli Bali la kulitaka
Utauwawa kweli,unaonyesha hujielewi kabisa mkuu,hata sijui una umri gani,yani ningekuwa mimi majirani wangeshitukia harufu ya mizoga chumbani,umeji risk sana maisha yako,huyo jamaa anakulia timing tu,atakumaliza, its not easy game, something bad will happen ,mark my word!.Mkuu mbona roho ya mauti imekutawala sana
Utauwawa kweli,unaonyesha hujielewi kabisa mkuu,hata sijui una umri gani,yani ningekuwa mimi majirani wangeshitukia harufu ya mizoga chumbani,umeji risk sana maisha yako,huyo jamaa anakulia timing tu,atakumaliza, its not easy game, something bad will happen ,mark my word!.
Wewe umeshikwa akili... Unaendeshwa na hisia(Blinded by Love) na sio kutumia akili yako.Tunapoelekea na mm ntamtelekeza huyu binti
May be its the blessing in disguiseMwanamke ananipenda sina wasi. Mda wote yupo kwenye double stand kwamba atafanyaje na yy ni mchumba wa mtu. Hatukuwa na majibu hadi limetokea hili
Tumia akili yako mpumbavu wewe...Dooooh. Mm nampenda lakini
Kwahiyo unataka kuniambia matatizo yanayonikumba saivi yanaweza kuwa ni sababu ya babu yangu??Itakugharimu wewe na uzao wako, asilimia 99 ya matatizo yanayowakumba wanadamu na uzao wake ni ya kujitakia.
Kwahiyo unataka kuniambia matatizo yanayonikumba saivi yanaweza kuwa ni sababu ya babu yangu??
Basi Mungu atakuwa muonevu sana, haiwezekani kosa afanye mwingine kisha adhabu apewe mwingine ambaye hajafanya kosa.Inawezekan