Nimevunja uchumba wa watu

Nimevunja uchumba wa watu

Asante mkuu. Bado nampenda mwanamke. Kwa namna yake amejotoa kwangu. Ku risk uchumba wake kwa ajili. Yangu. Sina shaka juu ya huu upendo wake
Katangaze ndoa, muoe awe mkeo halali kisha mtafute jamaa ongea naye asiwe na kinyongo nanyi.

Isije fika muda wa kumuoa kisha ukamkuta jamaa akiwa chumbani kwake tena usiku.
 
Habari za eid

Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu.

Lakini binti amekuwa akinisisitiza kuwa yeye ni mchumba wa jamaa fulani na wanasubiri ndoa tuu. Hiyo hali haikunirudisha nyuma kwa mapenzi niliyokuwa nayo kwake.

Juzi jioni Baada ya kutoka kutafuta Ugali wa watoto nikampigia bint kuwa niende kwake au yeye aje kwangu. Binti akasema niende. Basi bila kusita nilifunga safari nikaenda. Tukawa kwake akapika tukala

Hamad mida ya saa4 mlango ukagongwa. Sikuwa na wasiwasi kumbe ni mchumba wake. jamaa akaingia ndani akanikuta nimekaa kwenye sofa, jamaa akaniangalia akaniuliza hivi bado unaendelea na mchumba wangu?? Mm nikawa kimya jamaa akaingia chumbani kwa mwanamke akabeba vitu vyake na kuondoka. Mm nikabaki na yule mwanamke.


Amelia usiku kucha na kunitupia mm izo lawama. Asubuhi jana jamaa ameambatana na mshenga wake wameenda nyumbani kwa akina Binti kudai mahari. Ndugu wa mwanamke wameomba jamaa na mshenga waende Jumamosi ili kikao cha familia kilichopokea mahari kikutane. Baba na mama ya binti wameshindwa kumtuliza jamaa ili wayamalize. Jana jioni nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mzazi wa binti, niliongea nae aiwa analia sana. Nimeomba leo niende nyumbani kwa akina binti nikawasikilize wazazi wake.

Nimemuuliza binti kuwa niende kwao au nisiende binti hataki kusema. Nikampigia dada ake binti kuwa vipi niende kwao?? Dada yake akasema niende.

Hapa nilipo najiaandaa kwenda. Ni mkoa jirani. Ni mwendo wa masaa 4 tu ntakuwa nimefika.
Kosa ulilolifanya lazima upate maumivu yake mapema sana kwa kuwa ulishaambiwa na ukakosa siri.Ingekuwa huku kwetu kwa tukio hilo ungejuta kuzaliwa kabisa.
Nijuavyo hutadumu naye hata ukimuoa maana alichomfanyia mchumba wake nawe utafanyiwa tu.
 
Daaah
Kosa ulilolifanya lazima upate maumivu yake mapema sana kwa kuwa ulishaambiwa na ukakosa siri.Ingekuwa huku kwetu kwa tukio hilo ungejuta kuzaliwa kabisa.
Nijuavyo hutadumu naye hata ukimuoa maana alichomfanyia mchumba wake nawe utafanyiwa tu.
 
Tunapoelekea na mm ntamtelekeza huyu binti
Amini nakwambia Mkuu.. Kama demu aliweza kubali wewe uende kumgongea room kwake na anajua yeye ni mchumba wa mtu na mahari ashatolewa kiukweli ana Akili fupi sanaa... Why asingekuja kwako??? Ipo siku haya yatakukuta wewe ukiwa nae...
 
Back
Top Bottom