rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,856
Serious sababu demu bado hana msimamo ana mawenge flani hivi...!! Ukiona unamwambia mwanamke achagu kati ya wewe na jamaa anasema bado yupo Njia panda jua Huyo sio riziki yako.. Lililotokea ni kosa tu mbona wanafumaniwa wake za watu na wasameheana maisha yanaenda just sikilizia kwanza usiwe mwepesi wa kwenda kwao kutaka umuoe wewe...!!Daaah mzee unanirudisha nyuma sana
Tulia kwanza muda utaamua Mkuu...


