Nimevunja ndoa ya mtu moyo wangu safi

Nimevunja ndoa ya mtu moyo wangu safi

Ila twende mbele turudi nyuma kuna watu wana viherehere sana. Mimi wife wangu mara kibao tu nikirudi ananiambia "nasikia leo ulikua sehem flani". Hua nachukia kinoma mtu kuniona sehemu ya wazi, niko na wanaume wenzangu, halafu anampigia simu mke wangu kumwambia ameniona sehem flan 🙄. Ni bahati tu kwamba sijawahi kuonekana sehemu mbaya maana hua naenda loji za mbali.
Lojiiiiiii za mbali 🤣
 
Kwakua uliumizwa na ukweli kuwa wewe ni mzinifu hukutakiwa kuvuruga ndoa ya mwanaume mwenzako ambae yeye hajakukosea, wakiachana watoto watateseka na atakaeteseka zaidi ni jamaa sio mwanamke.
Kiukweli umekosea sioni mimi wapi umetumia ujanja hata kuja kujisifu.
Ulitakiwa kupanga namna nzuri ya kumuumiza yule mwanamke na sio familia nzima.
Mfano ungekutana na huyo mwanamke na kumwambia kuwa mkeo amekwambia kila kitu kuhusu umbea wake na mmeshamalizana sasa asubiri wewe ukutane na mumewe umwambie unapomuonaga ktk mazingira yenye mashaka ili ajue. Baada ya hapo unamuacha hivyo na humwambii hata huyo bwana wake angeishi kwa mashaka makubwa na angeumia yeye kama yeye sio familia nzima.
 
hii ni chai kama chai zingine tu,msitumie nguvu kukoment
 
Umefanya kosa kubwa sana la Kiufundi Mkuu.. Dawa ya huyo mdada ilitakiwa umle.. Tena una ushahidi wote huu afu unambwela? Au siyo Mzuri
Wengine wanaliwa kwa sababu maalum, regardless ubaya wake.....
 
Ila twende mbele turudi nyuma kuna watu wana viherehere sana. Mimi wife wangu mara kibao tu nikirudi ananiambia "nasikia leo ulikua sehem flani". Hua nachukia kinoma mtu kuniona sehemu ya wazi, niko na wanaume wenzangu, halafu anampigia simu mke wangu kumwambia ameniona sehem flan [emoji849]. Ni bahati tu kwamba sijawahi kuonekana sehemu mbaya maana hua naenda loji za mbali.

Ndio madhara ya kutomiliki gari mkuu [emoji28]pambana
 
Hakuna namna mtu atakuja kuniambia "Kule ninapokutana na mkeo . . . " Halafu atarajie aondoke bila kuniambia ni wapi eti nikagombane na mke wangu yeye ndiye aanze kuniambia hua mnakutana wapi.

Oksijeni inaisha, tabia nchi inabadilika, joto linapanda kila siku duniani oksijeni ndogo tuliyonayo tunashare hadi na watu wasiotaka kutumia akili zao vizuri.
Kasheshe ukute na mbavu nene kukuzidi hukawii kumgeuzia kibao wife
 
Kama huwa mnakutana sehemu sawa ila kama umedanganya ili umkomoe jiandae tu, labda akusamehe.

Ila akiamua kulipiza kisasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama utamsahau maana huyo ni MWANAMKE.
Atajua hajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulikua tunaishi maisha ya love Mimi wife na jirani yangu nae na mkewe, Mimi nilikua na mchepuko wangu sehemu siku moja ya jumapili ukaja tukaenda kufany yetu tumetoka chumbani mchepuko ukaniomba niupeleke beach ukareflesh kidogo tukaenda

Wakati tunarudi nikawa nimeushikia mkoba wenyewe ukawa umeshika viatu co ulivua wakati unatembea beach kwa bahati mbaya sana mke wa jirani yangu alituona ila Mimi cjamwona kufika nyumbani ukamwambia wife kila kitu

Narudi nyumbani mke kanuna ndani hapakaliki j3 asubuhi nikaenda mishe nyumbani nimeacha Moto hatari wife siku nzima alishinda analia akawa anatuma sms ya maneno makali mno oooh sisi unatuacha nyumbani na watoto unaenda nje na wanawake zako ooh mume wangu umekua Malaya siku hizi kitu ambacho kwa mara ya kwanza wife alinivunjia adabu kiasi kile

Mchana kutwa nikawa napanga mashambulizi kua naenda kujibi nini na nani nilikua nimembebea mkoba beach? Akilini nikajiuliza nani anataka kuniachanisha na huyu kiumbe na hatima ya wanangu itakuaje

Mwanaume nikaingia nyumbani mapema tu saa moja tukala tukaenda chumbani wife akaingia bafuni kuoga nikamwogesha najua ndo udhaifu wake lkn namwogesha huku mtoto wa watu analia

Nikakiri mbele ya wife kwamba ni kweli jana yake nilikua beach lkn niliekua nae hakua demu wangu Bali mke wa rafiki yangu na kwamba rafiki yangu huyu aliniomba nimsindikize beach yeye na mke wake na huyu rafiki yangu ndie aliekua amebeba mkoba wa mke wake lakini aliondoka akaenda bar chooni alibanwa na tumbo la kuhara katika kuwahi aliniachia mkoba wa shemeji angu so kwa hyo alietuona alituona kipindi jamaa akiwa chooni huku nje nilikua nimempanga mshikaji kua akipigiwa na wife anilinde, nikaona ameanza kulegea nikaongezea katika miaka yote tulivokua kua wote ushawahi kuckia wala kuona kitu kama hicho nikabembeleza kidogo na maneno matamu nikaomba gem nikafanya shoo ya kibabe saana nia nimjue nani anataka kunihamishia huyu njiwa kwenye kiota changu nife nae. Aaaah mkeo atakuficha nini bhana baadae ooh mama nanii ndo kanambia ambae ni mke wa jirani yangu nikajisemea aaah I will make something which will make her crying

Asubuhi nikaamkie mishe zangu nikiwaza huyu mwanamke wa jirani yangu ntanfanya nini jioni nilivorudi nyumbani nikaenda kwa jirani yangu nikamkuta anaangalia tv na mkewe anapika pika nika kaa kwenye kiti nikaitisha kikao kati ya Mimi jirani yangu na mkewe, nikaanza kuelezea Hali ya maisha na ilivyo ngumu kuvunja ndoa za watu nikapasua jipu nikamwambia jirani yangu kua mkeo juzi kaniona beach nimebeba mkoba wa mwanamke amekuja kumwambia mke wangu bila hata kujua nani yule anataka kunivunjia ndoa yangu nikamgeukia mke wa jirani yangu nikamuuliza shemeji hivi huko tunakokutana Mimi na wew ningeamua kumwambia mumeo ndoa yako ingekuepo Leo mbona Mimi nakuona sehemu nyingi zenye maswal mbona Mimi cjamwambia mumeo, mwanaume kuckia ivo akaanza kufoka niambie unamwona wapi nikamwambia muulize mkeo tunakutanaga wapi nyumba akaanza kuwaka Moto mwanaume anataka mwanamke amwambie ninapomuonaga ni wapi, mwanamke nae hasemi jamaa kamfukuza anatak kujua tunaonanaga wapi?

Mimi nipo kwangu maisha yanasonga wao watajua wenyewe

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ila hujafanya jambo jema kumgombamisha jirani na mkewe ingekuwa vema kama ungemtafuta huyo mwanamke peke yake unamueleza
 
Safi Sana umemtendea haki kabisa ila uache umalaya na wewe maana ushamtia mkeo kitu Cha kumfanya aongeze umakini juu yako
 
Ukisikia kifanyiana Umafia ndio huku.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nnachojua biblia iliandika dhambi huzaa dhambi na hatimaye mauti[emoji3], ulianza dhambi ikazaa dhambi yakutengenisha ndoa ya mwenzio, dhambi haiishii hapo, huyo mama naye atasonga mbele hatimae mmoja wenu ataiaga dunia katika hii vita. Siku ukiamka imeparalaizi upande mmoja utaelewa. Nimemaliza
 
Back
Top Bottom