Nimevunja ndoa ya mtu moyo wangu safi

Nimevunja ndoa ya mtu moyo wangu safi

Tulikua tunaishi maisha ya love Mimi wife na jirani yangu nae na mkewe, Mimi nilikua na mchepuko wangu sehemu siku moja ya jumapili ukaja tukaenda kufany yetu tumetoka chumbani mchepuko ukaniomba niupeleke beach ukareflesh kidogo tukaenda

Wakati tunarudi nikawa nimeushikia mkoba wenyewe ukawa umeshika viatu co ulivua wakati unatembea beach kwa bahati mbaya sana mke wa jirani yangu alituona ila Mimi cjamwona kufika nyumbani ukamwambia wife kila kitu
Hapo fresh sana mwana.....kama mbwai na iwe mbwai tu.
 
Tulikua tunaishi maisha ya love Mimi wife na jirani yangu nae na mkewe, Mimi nilikua na mchepuko wangu sehemu siku moja ya jumapili ukaja tukaenda kufany yetu tumetoka chumbani mchepuko ukaniomba niupeleke beach ukareflesh kidogo tukaenda

Wakati tunarudi nikawa nimeushikia mkoba wenyewe ukawa umeshika viatu co ulivua wakati unatembea beach kwa bahati mbaya sana mke wa jirani
Dah inafikirisha shehe kama mbwai iwe mbwai
 
Kama huwa mnakutana sehemu sawa ila kama umedanganya ili umkomoe jiandae tu, labda akusamehe.

Ila akiamua kulipiza kisasi 😂😂😂😂😂 sidhani kama utamsahau maana huyo ni MWANAMKE.
 
Astra zeneka plus J&J
Lazima umeacha watu njia panda wachugue nini.😀😀😀😀😀😀
 
Story yako inatufundisha kuwa tusifuatirie mambo ya watu...
 
Back
Top Bottom