Nimevunja ndoa ya mtu moyo wangu safi

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,854
Tulikua tunaishi maisha ya love Mimi wife na jirani yangu nae na mkewe, Mimi nilikua na mchepuko wangu sehemu siku moja ya jumapili ukaja tukaenda kufany yetu tumetoka chumbani mchepuko ukaniomba niupeleke beach ukareflesh kidogo tukaenda

Wakati tunarudi nikawa nimeushikia mkoba wenyewe ukawa umeshika viatu co ulivua wakati unatembea beach kwa bahati mbaya sana mke wa jirani yangu alituona ila Mimi cjamwona kufika nyumbani ukamwambia wife kila kitu

Narudi nyumbani mke kanuna ndani hapakaliki j3 asubuhi nikaenda mishe nyumbani nimeacha Moto hatari wife siku nzima alishinda analia akawa anatuma sms ya maneno makali mno oooh sisi unatuacha nyumbani na watoto unaenda nje na wanawake zako ooh mume wangu umekua Malaya siku hizi kitu ambacho kwa mara ya kwanza wife alinivunjia adabu kiasi kile

Mchana kutwa nikawa napanga mashambulizi kua naenda kujibi nini na nani nilikua nimembebea mkoba beach? Akilini nikajiuliza nani anataka kuniachanisha na huyu kiumbe na hatima ya wanangu itakuaje

Mwanaume nikaingia nyumbani mapema tu saa moja tukala tukaenda chumbani wife akaingia bafuni kuoga nikamwogesha najua ndo udhaifu wake lkn namwogesha huku mtoto wa watu analia

Nikakiri mbele ya wife kwamba ni kweli jana yake nilikua beach lkn niliekua nae hakua demu wangu Bali mke wa rafiki yangu na kwamba rafiki yangu huyu aliniomba nimsindikize beach yeye na mke wake na huyu rafiki yangu ndie aliekua amebeba mkoba wa mke wake lakini aliondoka akaenda bar chooni alibanwa na tumbo la kuhara katika kuwahi aliniachia mkoba wa shemeji angu so kwa hyo alietuona alituona kipindi jamaa akiwa chooni huku nje nilikua nimempanga mshikaji kua akipigiwa na wife anilinde, nikaona ameanza kulegea nikaongezea katika miaka yote tulivokua kua wote ushawahi kuckia wala kuona kitu kama hicho nikabembeleza kidogo na maneno matamu nikaomba gem nikafanya shoo ya kibabe saana nia nimjue nani anataka kunihamishia huyu njiwa kwenye kiota changu nife nae. Aaaah mkeo atakuficha nini bhana baadae ooh mama nanii ndo kanambia ambae ni mke wa jirani yangu nikajisemea aaah I will make something which will make her crying

Asubuhi nikaamkie mishe zangu nikiwaza huyu mwanamke wa jirani yangu ntanfanya nini jioni nilivorudi nyumbani nikaenda kwa jirani yangu nikamkuta anaangalia tv na mkewe anapika pika nika kaa kwenye kiti nikaitisha kikao kati ya Mimi jirani yangu na mkewe, nikaanza kuelezea Hali ya maisha na ilivyo ngumu kuvunja ndoa za watu nikapasua jipu nikamwambia jirani yangu kua mkeo juzi kaniona beach nimebeba mkoba wa mwanamke amekuja kumwambia mke wangu bila hata kujua nani yule anataka kunivunjia ndoa yangu nikamgeukia mke wa jirani yangu nikamuuliza shemeji hivi huko tunakokutana Mimi na wew ningeamua kumwambia mumeo ndoa yako ingekuepo Leo mbona Mimi nakuona sehemu nyingi zenye maswal mbona Mimi cjamwambia mumeo, mwanaume kuckia ivo akaanza kufoka niambie unamwona wapi nikamwambia muulize mkeo tunakutanaga wapi nyumba akaanza kuwaka Moto mwanaume anataka mwanamke amwambie ninapomuonaga ni wapi, mwanamke nae hasemi jamaa kamfukuza anatak kujua tunaonanaga wapi?

Mimi nipo kwangu maisha yanasonga wao watajua wenyewe

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama sio mzinifu hapo sawa ila inamuumanini kama anazini dawa ya mwongo fupi basi mimi hainihusugi maisha ya mtu kwa sababu huyo mtu unayemuangamiza today tomorrow he or she will help you .

Usingemuharibia ungefanya hivi ungemuita nakumkanya .
Ila kwasababu alijiona mwamba basi nawewe ukamwamkia .

Ila watasemeana tu kinaisha .
 
Tulikua tunaishi maisha ya love Mimi wife na jirani yangu nae na mkewe, Mimi nilikua na mchepuko wangu sehemu siku moja ya jumapili ukaja tukaenda kufany yetu tumetoka chumbani mchepuko ukaniomba niupeleke beach ukareflesh kidogo tukaenda

Wakati tunarudi nikawa nimeushikia mkoba wenyewe ukawa umeshika viatu co ulivua wakati unatembea beach kwa bahati mbaya sana mke wa jirani yangu alituona ila Mimi cjamwona kufika nyumbani ukamwambia wife kila kitu

Narudi nyumbani mke kanuna ndani hapakaliki j3 asubuhi nikaenda mishe nyumbani nimeacha Moto hatari wife siku nzima alishinda analia akawa anatuma sms ya maneno makali mno oooh sisi unatuacha nyumbani na watoto unaenda nje na wanawake zako ooh mume wangu umekua Malaya siku hizi kitu ambacho kwa mara ya kwanza wife alinivunjia adabu kiasi kile

Mchana kutwa nikawa napanga mashambulizi kua naenda kujibi nini na nani nilikua nimembebea mkoba beach? Akilini nikajiuliza nani anataka kuniachanisha na huyu kiumbe na hatima ya wanangu itakuaje

Mwanaume nikaingia nyumbani mapema tu saa moja tukala tukaenda chumbani wife akaingia bafuni kuoga nikamwogesha najua ndo udhaifu wake lkn namwogesha huku mtoto wa watu analia

Nikakiri mbele ya wife kwamba ni kweli jana yake nilikua beach lkn niliekua nae hakua demu wangu Bali mke wa rafiki yangu na kwamba rafiki yangu huyu aliniomba nimsindikize beach yeye na mke wake na huyu rafiki yangu ndie aliekua amebeba mkoba wa mke wake lakini aliondoka akaenda bar chooni alibanwa na tumbo la kuhara katika kuwahi aliniachia mkoba wa shemeji angu so kwa hyo alietuona alituona kipindi jamaa akiwa chooni huku nje nilikua nimempanga mshikaji kua akipigiwa na wife anilinde, nikaona ameanza kulegea nikaongezea katika miaka yote tulivokua kua wote ushawahi kuckia wala kuona kitu kama hicho nikabembeleza kidogo na maneno matamu nikaomba gem nikafanya shoo ya kibabe saana nia nimjue nani anataka kunihamishia huyu njiwa kwenye kiota changu nife nae. Aaaah mkeo atakuficha nini bhana baadae ooh mama nanii ndo kanambia ambae ni mke wa jirani yangu nikajisemea aaah I will make something which will make her crying

Asubuhi nikaamkie mishe zangu nikiwaza huyu mwanamke wa jirani yangu ntanfanya nini jioni nilivorudi nyumbani nikaenda kwa jirani yangu nikamkuta anaangalia tv na mkewe anapika pika nika kaa kwenye kiti nikaitisha kikao kati ya Mimi jirani yangu na mkewe, nikaanza kuelezea Hali ya maisha na ilivyo ngumu kuvunja ndoa za watu nikapasua jipu nikamwambia jirani yangu kua mkeo juzi kaniona beach nimebeba mkoba wa mwanamke amekuja kumwambia mke wangu bila hata kujua nani yule anataka kunivunjia ndoa yangu nikamgeukia mke wa jirani yangu nikamuuliza shemeji hivi huko tunakokutana Mimi na wew ningeamua kumwambia mumeo ndoa yako ingekuepo Leo mbona Mimi nakuona sehemu nyingi zenye maswal mbona Mimi cjamwambia mumeo, mwanaume kuckia ivo akaanza kufoka niambie unamwona wapi nikamwambia muulize mkeo tunakutanaga wapi nyumba akaanza kuwaka Moto mwanaume anataka mwanamke amwambie ninapomuonaga ni wapi, mwanamke nae hasemi jamaa kamfukuza anatak kujua tunaonanaga wapi?

Mimi nipo kwangu maisha yanasonga wao watajua wenyewe

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Umemuweza pumbavu Huyo mwanamke, jinga huyo
 
Ila twende mbele turudi nyuma kuna watu wana viherehere sana. Mimi wife wangu mara kibao tu nikirudi ananiambia "nasikia leo ulikua sehem flani". Hua nachukia kinoma mtu kuniona sehemu ya wazi, niko na wanaume wenzangu, halafu anampigia simu mke wangu kumwambia ameniona sehem flan 🙄. Ni bahati tu kwamba sijawahi kuonekana sehemu mbaya maana hua naenda loji za mbali.
 
Tulikua tunaishi maisha ya love Mimi wife na jirani yangu nae na mkewe, Mimi nilikua na mchepuko wangu sehemu siku moja ya jumapili ukaja tukaenda kufany yetu tumetoka chumbani mchepuko ukaniomba niupeleke beach ukareflesh kidogo tukaenda

Wakati tunarudi nikawa nimeushikia mkoba wenyewe ukawa umeshika viatu co ulivua wakati unatembea beach kwa bahati mbaya sana mke wa jirani yangu alituona ila Mimi cjamwona kufika nyumbani ukamwambia wife kila kitu

Narudi nyumbani mke kanuna ndani hapakaliki j3 asubuhi nikaenda mishe nyumbani nimeacha Moto hatari wife siku nzima alishinda analia akawa anatuma sms ya maneno makali mno oooh sisi unatuacha nyumbani na watoto unaenda nje na wanawake zako ooh mume wangu umekua Malaya siku hizi kitu ambacho kwa mara ya kwanza wife alinivunjia adabu kiasi kile

Mchana kutwa nikawa napanga mashambulizi kua naenda kujibi nini na nani nilikua nimembebea mkoba beach? Akilini nikajiuliza nani anataka kuniachanisha na huyu kiumbe na hatima ya wanangu itakuaje

Mwanaume nikaingia nyumbani mapema tu saa moja tukala tukaenda chumbani wife akaingia bafuni kuoga nikamwogesha najua ndo udhaifu wake lkn namwogesha huku mtoto wa watu analia

Nikakiri mbele ya wife kwamba ni kweli jana yake nilikua beach lkn niliekua nae hakua demu wangu Bali mke wa rafiki yangu na kwamba rafiki yangu huyu aliniomba nimsindikize beach yeye na mke wake na huyu rafiki yangu ndie aliekua amebeba mkoba wa mke wake lakini aliondoka akaenda bar chooni alibanwa na tumbo la kuhara katika kuwahi aliniachia mkoba wa shemeji angu so kwa hyo alietuona alituona kipindi jamaa akiwa chooni huku nje nilikua nimempanga mshikaji kua akipigiwa na wife anilinde, nikaona ameanza kulegea nikaongezea katika miaka yote tulivokua kua wote ushawahi kuckia wala kuona kitu kama hicho nikabembeleza kidogo na maneno matamu nikaomba gem nikafanya shoo ya kibabe saana nia nimjue nani anataka kunihamishia huyu njiwa kwenye kiota changu nife nae. Aaaah mkeo atakuficha nini bhana baadae ooh mama nanii ndo kanambia ambae ni mke wa jirani yangu nikajisemea aaah I will make something which will make her crying

Asubuhi nikaamkie mishe zangu nikiwaza huyu mwanamke wa jirani yangu ntanfanya nini jioni nilivorudi nyumbani nikaenda kwa jirani yangu nikamkuta anaangalia tv na mkewe anapika pika nika kaa kwenye kiti nikaitisha kikao kati ya Mimi jirani yangu na mkewe, nikaanza kuelezea Hali ya maisha na ilivyo ngumu kuvunja ndoa za watu nikapasua jipu nikamwambia jirani yangu kua mkeo juzi kaniona beach nimebeba mkoba wa mwanamke amekuja kumwambia mke wangu bila hata kujua nani yule anataka kunivunjia ndoa yangu nikamgeukia mke wa jirani yangu nikamuuliza shemeji hivi huko tunakokutana Mimi na wew ningeamua kumwambia mumeo ndoa yako ingekuepo Leo mbona Mimi nakuona sehemu nyingi zenye maswal mbona Mimi cjamwambia mumeo, mwanaume kuckia ivo akaanza kufoka niambie unamwona wapi nikamwambia muulize mkeo tunakutanaga wapi nyumba akaanza kuwaka Moto mwanaume anataka mwanamke amwambie ninapomuonaga ni wapi, mwanamke nae hasemi jamaa kamfukuza anatak kujua tunaonanaga wapi?

Mimi nipo kwangu maisha yanasonga wao watajua wenyewe

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Huko mlipo onana mnaweza kuta kwenye maelezo wote mkapoteza ndoa zenu mkajikuta mmeoana wenyewe.. waruka Debe

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Ila twende mbele turudi nyuma kuna watu wana viherehere sana. Mimi wife wangu mara kibao tu nikirudi ananiambia "nasikia leo ulikua sehem flani". Hua nachukia kinoma mtu kuniona sehemu ya wazi, niko na wanaume wenzangu, halafu anampigia simu mke wangu kumwambia ameniona sehem flan . Ni bahati tu kwamba sijawahi kuonekana sehemu mbaya maana hua naenda loji za mbali.
Mzeee kuwa makini anae fanya hivo ni rafiki yako wa karibu Sana. Na marafiki wa hivo hawakawii kutongoza na kula mashemeji zao ...kukuweka wazi mtafute huyo rafiki chap na umpige chini kabla Mambo hayajawa mengi kwako.
 
Back
Top Bottom