James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,101
- 3,866
Hawana kazi mbovu kudadekiWamba hawa hapa
View attachment 2457026
Hawana kazi mbovu kudadekiWamba hawa hapa
View attachment 2457026
Mimi nejaribu hivyo hapa ghetto lakini madogo wakija likizo tu kumekucha
Piga usafi mkali. Anika godoro, kochi juani. Kitanda mwagia maji moto alafu chukua dizel na sabuni ya unga paka. NB. Hakikisha usafi wa geto(nyumba mara kwa mara almost kama baada ya 2wks. Usafi sio panapoonekana na pasipo onekana. Mashuka uwe wabadilisha ama kufua Kila wakati. Pangilia vitu katika mpangilio mzuri. Baada ya mwezi njoo uwape wengine matokeo
Ha haaa,,,,mziki wake si wakitotoHao wajomba vita yao ni zaidi ya Ukraine na Russia nakutakia kila la kheri..



Mabibo hostel bloc C achaneni nayooo![]()





ndio ile ngoma ya marehemu Ngwair inaitwa Mabibo HostelIla unaweza kuwabeba kutoka huko kuliko kuchafu na wakaendelea na maisha hata palipo pasafi.Kunguni wanaletwa na uchafu.
Umesema kweli kabisa hao jamaa kudeal nao ni kama vita ni wabishi balaa.Hao wajomba vita yao ni zaidi ya Ukraine na Russia nakutakia kila la kheri..
Hao wajomba sio lazima waweke kambi kwenye godoro wanaweza kuweka kambi eneo lengine ila usiku ndio wanakuja kwenye godoro kufanya mashambulizi.Hakikisha Godoro Lina bedcover kwanza , then makesure unafua sana mashuka plus usafi kwa wingi.
Mimi Nina uzoefu na ninacho-semaHao wajomba sio lazima waweke kambi kwenye godoro wanaweza kuweka kambi eneo lengine ila usiku ndio wanakuja kwenye godoro kufanya mashambulizi.
Tumia hii ni kiboko yaoNimevamiwa na jeshi la kunguni, naomba msaada nimejaribu dawa mbalimbali za kunguni bila mafanikio. Tafadhali naomba msaada ili niweze kupambana na jeshi hilo!
Sisimizi wanakula Kunguni ?Dawa ya hao ni sisimizi
Paka asali kiasi kwenye mbao za kitanda, sisimizi watafuata watashambulia hao kunguni pamoja Na mayai yake, hawatorudi tena, mmi nilkuwa nao ndani kila aina ya dawa nilitumia lakin hawakuisha, komesha ya hao viumbe ni sisimizi
Akiwa mjamzito ataishi tu mpaka mje kustuka wameenea nyumba nzima.Kama ukiwa mtu wa usafi home hata kama ulimchukua kwenye daladala hatoweza kuishi.
Upo sahihi ila mie nimeeleza tu kuwa wakati mwengine hao wadudu wanaweza wasiweke makazi kwenye kitanda kabisa ila usiku ukaona wanakusumbua, kuna mtu alitoa kila kitu chumbani na kusafisha na mwisho kupiga deki chumba kizima ila usiku wadudu wakaja kumsumbua kama kawaida.Mimi Nina uzoefu na ninacho-sema
KweliUpo sahihi ila mie nimeeleza tu kuwa wakati mwengine hao wadudu wanaweza wasiweke makazi kwenye kitanda kabisa ila usiku ukaona wanakusumbua, kuna mtu alitoa kila kitu chumbani na kusafisha na mwisho kupiga deki chumba kizima ila usiku wadudu wakaja kumsumbua kama kawaida.
Fanya usafi wa kutosha then piga fumigation if possible
Matumizi yake inafanyeje?Tumia hii ni kiboko yao
View attachment 2458447