Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,620
- 69,356
Ila shughuli yake si ya kitoto, kingine yanawamaliza kunguni kutegemea na nyumba ilivyo kama kuna nyufa, hamna dari, nk hapo ni kutafuta dawa tuKumbe maji moto ni dawa mzuri
Ila shughuli yake si ya kitoto, kingine yanawamaliza kunguni kutegemea na nyumba ilivyo kama kuna nyufa, hamna dari, nk hapo ni kutafuta dawa tuKumbe maji moto ni dawa mzuri
Yani hizo za kununua hazifiki kunakotakiwaaa kuna penyo wanajificha ilaa maji ya Motoo kibokoo yani wataisha wotee...!Kumbe maji moto ni dawa mzuri
Hiyo diazon inapatika kwenye maduka gani?Pia kuna ile ya kumix sabun ya unga na mafuta ya taa na chumvi laini japo mi bnafsi sijawahi itumia hiyo nilitumia diazon hiyo tatzo likaisha nasi
Kuna basi flani (***) la Mbeya - Mwanza, ikifika mida ya usiku mnasafiri linaibuka jeshi la viroboto+kunguni, basi utasikia tu abiria wanajipiga makofi ya miguuni, migongoni..

mabasi ya Kanda ya ziwa Yana hao wadudu kibaoDuka la dawa za mifugoHiyo diazon inapatika kwenye maduka gani?
Nimezoea kusikia watu wamevamiwa na majambazi. Kumbe kunguni nao wanavamia watu? Hata wasafi![]()