Diazone ni kiboko ila achanganye na mafuta ya taa.Pole mkuu tafuta dawa inaitwa diazon ipo kwenye kachupa kadogo hivi unachanganya na maji lta 1½ inauzwa 2000 au 2500 hivi ile n dawa kweli
Diazone ni kiboko ila achanganye na mafuta ya taa.Pole mkuu tafuta dawa inaitwa diazon ipo kwenye kachupa kadogo hivi unachanganya na maji lta 1½ inauzwa 2000 au 2500 hivi ile n dawa kweli
Unaweza kumbeba mwenye mimba toka kijiweni ukampeleka home hahaKunguni wanaletwa na uchafu.
Si waja na mbegu mpya. Wakifika waanzishie doz on the spotMimi nejaribu hivyo hapa ghetto lakini madogo wakija likizo tu kumekucha
Alokwambia kunguni wwnasababishwa na uchafu ni nani?Acha uchafu mkuu
Kamuulize upya huyo alokulisha matangoporiKunguni wanaletwa na uchafu.
Acha kukariri mzee,kunguni haangalii uchafu wala usafi,unless km humjui vzrKama ukiwa mtu wa usafi home hata kama ulimchukua kwenye daladala hatoweza kuishi.
Dawa yao ni Putin tuKabisa akija mmoja tu au wawili akapata kambi umekwisha
Hawafi kizembe ivo mzee hao wanajificha kila kona unakuta wengne wapo juu karibu na dari , wakishuka wanataga tena yani utajuwa ujui

Ukiingia gest za elfu4 elfu5 elfu7 elfu8 na baadhi elfu10 ujue viumbe hawa lazima uondoke nao! Ama umetoa lift kwa vidada njiani haswa nje ya mji kuanzia mlandizi_ vigwaza na kuendelea au wamasai na wamang'ati ujue kabisa hao viumbe ni ndugu zao dam dam na wao wamewazoea wala hawana taabu kabisa






















Japo lisemwalo lipo mkuuHizo ni itikadi tu
Petrol ndio dawa yao inyunyuzie kwny kila kona kwny gari funga vioo ipaki juani
I hope so.....najua ni uchafuUsidhani kunguni ni uchafu, kunguni ukileta mbegu ndani hata uwe msafi vipi umekwisha
Kuna ukweli hapapiga dawa ila maana na viashiria vyake sio vizuri utapitia kipindi kigumu mudasi mrefu
Punguza uchafu. Wa kimwili kufua nguo usafi chumbani nk nkNimevamiwa na jeshi la kunguni, naomba msaada nimejaribu dawa mbalimbali za kunguni bila mafanikio. Tafadhali naomba msaada ili niweze kupambana na jeshi hilo!
Kumbe maji moto ni dawa mzuriKuna pahala niliwahi kuishi akaja nao mwanafunzi likizo, ilichukua muda kugundua, kama miezi 4 hivi, kijana aliyekuwa humo akalamika usiku halali kuna wadudu wanamng'ata, sikuwahi kuwajua kunguni ila siku ile kuwaona tu nilijua nimekutana nao uso kwa uso, nikamuita mwenye nyumba uzuri nyumba ilikuwa kali hivyo walikuwa katika room moja tu napo kulikuwa na matairi hivyo kwenye matairi ndo lilikuwa chimbo lao,,, ebanaeeeee tulichemsha mapipa na masufuria ya maji mwagia kila kitu kwa maji moto,, kwwnye tiles pote,, ......waliisha kabisa