Ao bana utawauwa ila watarudi tana kwa kasi ya ajabu pengine kuzid ya mwanzo,
Fanya hivi
Toa kitanda kama una vitu vya mbao kakipige vanish upya kabisa toa nguo zote kazifue hata safi loweka ktk omo zenu fua,
Mashuka yote,
Chumba kipige rangi upya haikisha una skim sehem zenye mashimo zote, kama sakafu ina ufa pia ziba,
Godoro kama utaweza nunua jipya liwe na kava ya nailon, kama utoweza pasi lipige diazon liloe hakiksha mayai yote yanatoka yake kwa dawa hayaharibiki,
Then panga vitu upya hakikisha usafi muhimu na usiwe na makorokor mengi yasio ulazima, chumba simple ni kitanda, meza basi na simple seat si lazima masofa
Ukiaa miezi miwili piga dawa tena
Hao hawaondoki kizembe wana mbinu haswa