Nimeumizwa

jipe moyo maisha ndio yalivyo na siwakwanza wewe bali wapo wengi tu waliopitia huko hata wanaokupa ushauri wengine tulisha somesha na kuachwa haijalishi ni mwanaume au mwanamke kikubwa kwenye mapenzi ni sehemu ya vurungu kama uko GAZA mlipuko kila sehemu.

Ifike mahari muwe mnakubali matokeo
 
Ni kweli ni mbaya sana kukaa na msichana na watu tena 3 years and then abruptly you just go so simple na kumwambia kuwa now me and you is over nimepata mchumba, na kumbuka hajawahi kukukosea wala hamjawahi kuwa na bifu zaid ya argument ndogondogo za kuwekana sawa tu maana katika maisha hata mzazi wako lazima sometime mnatofautiana mawazo but mnarekebisha and life goes on. Inasikitisha sana maana hata mimi ishawahi kunitokea nimekaa na msichana for 3 good years, rafiki zake kazini wananifahamu na baadhi ya majirani zake wananifahamu pia but at the end of the day it didn't work out simply because of me kusikiliza maneno ya watu while we were approaching to the summit.Nakuambia hii kitu si nzuri isikie kwa mtu.

Sasa hivi mimi nimekuwa mshauri mzuri wa wavulana wenzangu namna ya kuishi na mchumba na namna ya kutosikiliza maneno ya watu maana si kila mtu anafurahi kuwaona mnatoka out w'end mnapitiana lunch mchana kweupe. Iam still regretting myself kwa sababu msichana was innocent lakini kwa kuwa nilikuwa nje kimasomo for that time na maneno nilikuwa napewa tena na rafiki zake na mimi bila kufikiria mara mbilimbili nikakurupuka tu bila hata kumwambia what is the reason behind maan baadhi ya vitu nilivoambiwa nikilinganisha na story na kila kitu vilikuwa kama sawa 100%. Lakini kumbe vyote vilikuwa vya kutungwa and all were a cooked stories but ili bi dada asiweze kufurahia na mimi maisha ya ndoa kisa WIVU TU WA KIKE WA HAO MASHOGA ZAKE. Lakini nakuambia aliezitunga ni zaidi ya zile cvitabu vya hadidhi za Shigongo maana everything was almost kweli

Kwa wasichana tafadhari sana acheni kuwachongea na kuwaongelea wasichana wenzenu kwa wachumba zao ama boyfriend zao mambo ya mnuko na upumbavu, wewe kama hujapata wako tuliza ****** chini jitafakari na sio kumwalibia mwenzako maana angalia sikumuoa na wewe ulieleta umbea wako wa kijinga hujaolewa bado unambwelambela tu.

Na sie wavulana lazima tuwe wawazi haiwezekani uamke asubuhi tu umwambie eti mimi na wewe basi nimepata mchumba,mwambie nimeambiwa wewe upo hivi na hivi na vile and I have done my research and I have found out that me and you marriage wont work out then yeye hapo atapata nafasi ya kujitetea na kuleta ushahidi wa kutosha ambao wewe at the end of the day utakupa ukweli wooooote. Lakini wewe ukishaletewa habari hata bila kuzichuja unakurupuka tu utaumiza wasichana wengi sana. Kumbuka wasichana hawapendani hata kidogo na unaweza kukuta wapo ofisi moja tena wanaletea hata vitafunio asubuhi lakini wakishasikia mwenzao amepata mchumba tena decent basi hapo ndo wanaanza kuchimbua hata habari za alichokifanya darasa la kwanza. So we need to be wise otherwise sio nzuri.
 
Lakini hii haito maanisha chochote kabisa maana ni watu wengi wanafanyiwa hivyo lakini hawa komi!

Me naona njia pekee ya kutatua hili tatizo ni kulinda penzi lako kwa nguvu zote na kuwa makini unapo anzisha uhusiano na mtu!

Kuchunguzana, kwa mfano huyo mtoa mada ana sema amekaa na huyo jamaa kwa miaka 3 bila kujau chochote kuhusu mchumba wake huyu, hapo ni wazi hakuwa ana mchunguza mtu wake na uchunguzi ni muhimu katika mahusiano!
Kwa haraka utagundua kuna kitu huyo mvulana hataki kumuweka wazi huyo binti na inawezekana hana mchumba!
Na kufight back hakuto punguza chochote na wala hakuto cover maumivu.

Kama malipizo yange kuwa ni funzo kwa jamii hasa kwenye mapenzi wala watu wasinge endelea kuumizwa kila leo!

Cha kumshauri ni kuwa makini na muangalifu kwenye mahusiano mengine.

Huku KUJIVUA GAMBA ndo kunaresult MWANAUME MMOJA ANAWAUMIZA WANAWAKE HATA 20!!!!!!!!THE SAME WAY, SAME STYLE, SAME TIME!!!!!!!!!!!! BAD ENOUGH THEY ALWAYS GET AWAY WITH IT!!!!!!!

Nasema hiviiiiiiii!!!!!!!!!!! KOMESHA UFISADI KATIKA MAPENZI!!!!!!!!! Kukimbia tatizo sio kusolve!!!!!!!! FIGHT BACK FOR YOUR SELF, YOUR WOMANHOOD, YOUR SOCIETY!!!!!!!!!

Fisadi moja UKILIPA DOZI NENE linanyooka HUTOKAA USIKIE KAUMIZA MTU MWENGINE KAMWE!!!!!!!!! Bila hivo ni kucheza mdako!Kama huyo MAZAFANTA wa mleta mada 3 YERS OF MARRIAGE ATAMWAMBIA HUYO MWANAMKE MWENGINE BANAAAA EEH! TUSIZEESHANE!!!!!!!!! CHUKUA TIME ZAKO!!!!!!! (Yale yale!!!!! yanajiruida)

HELA/ BIASHARA NI TOFAUTI KABISAAAAAA NA MAPENZI!!!!!!!!!!!!!!! KABISA KABISAAAAA!!!!!!!! UTILITY YA KUPENDWA NI QUITE DIFFERENT NA SATISFACTION YA KUKAMATA VUMBA!!!!!!!! MIMI BIASHARA NAFANYA NA KAZI, N I NEVERRRRRR MIX THESE WITH MY RELATIONS!!!!!!!!!!! ILA SIWEZI KULETEWA USENGERY KWENYE MAPENZ ALAFU ETI NIMALIZIE HASIRA KWENYE BUSINESS!!!!!!!!!!!!!! NGUMU KUMEZA AISEEEEEEEEEEEE!!!! SWALA LA MSINGI HATA UKIWA NA DUNIA NZIMA HATOSHI KULIPIA YOUR BROKEN HEART NA UNFULLFILLED FEEELINGS NA NEEDS TOWARDS MPENZIO!!!!!!!!!! NDO MAANA NASISITIZA THERE IS NO SUBSTITUTION/COMPENSATON YA KUTENDWAAAAA!!!!!!!! (ITS ALL ABOUT BROKEN TRUST)

PEOPLE SHOUL PAY DEARLY FOR THE CRIMES THEY COMMIT!!!!!!!!!!!! PERIOD
 
pawa Sozia alitishia kujinyonga kwenye mazingaombwe akafa kweli

wanafunzi wanashangilia makeke na manjonjo kumbe mwenzao anakata roho

sasa ni mwaka karibu wa 15 amejitanguliza mbele ya haki.

Kifo hakijaribishiwi

Duh, KONGOSHO umenikumbusha mbali sana wewe mtoto. huo ni mfano hai kabisa asijaribu.
 
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
shetani tu huyo, jipe moyo utashinda!
 
Lakini hii haito maanisha chochote kabisa maana ni watu wengi wanafanyiwa hivyo lakini hawa komi!

Me naona njia pekee ya kutatua hili tatizo ni kulinda penzi lako kwa nguvu zote na kuwa makini unapo anzisha uhusiano na mtu!

Kuchunguzana, kwa mfano huyo mtoa mada ana sema amekaa na huyo jamaa kwa miaka 3 bila kujau chochote kuhusu mchumba wake huyu, hapo ni wazi hakuwa ana mchunguza mtu wake na uchunguzi ni muhimu katika mahusiano!
Kwa haraka utagundua kuna kitu huyo mvulana hataki kumuweka wazi huyo binti na inawezekana hana mchumba!
Na kufight back hakuto punguza chochote na wala hakuto cover maumivu.

Kama malipizo yange kuwa ni funzo kwa jamii hasa kwenye mapenzi wala watu wasinge endelea kuumizwa kila leo!

Cha kumshauri ni kuwa makini na muangalifu kwenye mahusiano mengine.


KUWAACHA HIVI HIVI ni kulea UOZO!!!!!!!!!!! THEY SHOULD GET THE TASTE OF THEIR OWN MEDICINE!!! Hivi mtu kaja in your life, KAKUCHEZEA CHEZEA KASEMA BYE BYE!!!!!! We umekaa tu, umelia wee, LIFE GOES ON!!!!!

Unadhani lile FISADI LA MAPENZI litajua lilichofanya ni kibaya! NOP!!!!!!! Ataona KAWAIDA TU!!!!!!! Ila ukileta VITA VYA WAFILIST, HAKUNA KINACHOELEWEKA, VURUMAI VURUMAI!!!! Tukio unalipa MEGA WATT za kutosha, kila mtu analijua!!!!! LAZIMA ATULIZE MBATA CHINI AJITAFAKARI IMEKUWAJE AMEISHIA IN THAT NIGHTMARE!!!!!!!!! Ndo ataona UBAYA wa tukio lake, na HOW IMPORTANT HE WAS TO YOU!!!!!!! NDO ATAJUA SASA MOYO WA MWANAMKE SI KITU CHA KUCHEZEA!!!!!!!!!! Na next time ATAJITAFAKARI!!!!!!!!!

PEOPLE SHOULD PAY FOR THE CRIMES THEY COMMIT!!!!!!!!PERIOD!
 
Diva wa Clouds yuko kwenye stress sana saiv kutokana na issues zinazoendana na hizi, na hivi majuzi ametishia kujiua....nataka kuamini Divalicious wa JF ndo Diva wa Clouds! Is it Divalicious?
 
Sasa nakupa ushauri dume USIKUBALI KUWA MNYONGE NA KUYAMALIZA KIMYA KIMYA!!!!!!! THE BEST 3 YEARS OF YOUR LIFE AINT A JOKE!!!!!!!!! Yaani UMSAMEHE BURE!!!!!!!!!! I SAY BULLSHIT!!!!!!! Binti FIGHT BACK!!!!!!! Ukikaa kiunyonge UTAPATA PRESSURE NA KISUKARI UTUACHIE HUYO BWANA TUMCHUNE!!!!!!!!!!!!!! FUC* THE PEACE!!!!!!!! DECLARE WAR!!!!!!!! 1. Nenda kwao huyo kaka waeleze UFIRAUNI WAKE WOTE (DONT LET HIM GET AWAY WITH IT!!!! NOT A DIME OF IT! MAKE HIM PAY!) Haitokupunguzia maumivu ila itakupa nguvu ya KUJUA WATU WA KARIBU YAKE WAMEMJUA UNDANI WAKE!!!!!!! Mazafanta mkubwa huyo!!!!! 2. Mtafute bibi harusi umueleze jinsi huyo Mazafanta alivokuwa NANYI NYOTE KWA MPIGO FOR 3 YRS!!!!!! Dnt feel bad its the truth anyway!!!!! Akiamua kuendelea nae ILA UKWELI KAUJUA(You will be doing her a favour) 3. Tell all his friends WHAT TYPE OF GUY HE IS!!!! Ndio wamjue uzuri tabia yake chafuuu!!!!!!!! 4. Tafuta mtu wa ofisini kwao UMPE FULL STORY ( PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!) Na umbea wa ofisini unavosambaaa WAKICHANGA WAJUE BWANA HARUSI Mazafanta ndio!!!! Vurugavuruga hali ya hewa ya harusi!!!!!!!

USIKUBALI KABISA MTU AJE MAISHANI MWAKO AJAMBIE JAMBIE MAISHA YAKO AFU AONDOKE WITHOUT PAYING FOR HIS CRIMES!!!!!!! HELL TO THE NO!!!!!!!!! Mimi X Wangu wote ZOEZI LA KUPAY FOR THEIR CRIMES NI CONTINUOUS!!!!!!!! Hawatokaa WASAHAU SIKU WALIOINGIA MAISHANI MWANGU!!!!!!!!! Mtu anakufanyia umafya afu anapiga "IM SO SORRY!" SORRY MY BIG FAT A**!!!!!!!!!
nimekupenda wote niliowaacha hakuna aliyefanya hivi duu ni PM
 
Duh, lara1 wewe ni gaidi zaidi ya Osama aisee. Ciello, preta na mwenzenu lara1 hebu changanyeni maujuzi mnaweza kugundua mborometer, hapo mtawakomesha wanaume manunda. Teh teh teh, kazi kwenu. Pole sana mleta uzi, Diva!
 
Ciello shost eti mama lwakatare kwikiwki na yale mavilembba makubwa lol,mimi kuachwa sijawahi ila kuacha niliacha na akaendelea kunifuata mpaka nimeolewa nikajua huyu ataingia anga zangu leo nikabeba cha moto,nikamwambia nyuma geuka chapa lapa!aliishia kutangaza yule mwabanke hatari anatembea na bastola,kumbe hubby alikuwa kasafiri nikapata upenyo ila that was the last hadhubutu hata kupiga simu.mtu uko nae kwenye mahusiano unakuja gundua ana 3kids wanawake tofauti then eti uendelkee kukaa hapo .tena unamwacha fasta unamwambia baaaaaaaaaas kama lara 1

umenifanya nismile, hiyo ilikua safi, i can imagine, inaumiza na inatia hasira
 
Pole sana Dada jamani bt kweli yametokea
Send me ur mail then i will give u something which will curing that,dont give ur number iTS JUST UR EMAIL ONLY.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom