Nimeumizwa

Nimeumizwa

Exactly one have 2 fight 4his/her love,kukalia kulialia hamake sense!
Sasa mimi nahangaika na drama girls kumbe mpo humu mmejificha, decent girls sometimes wanaboa ndo maana wanaachwa daily, mapenzi ni haki yako ya msingi lazima upiganie kulilinda penzi lako lilipo lisipotee kirahisi..

Vita za kulinda penzi ni zaidi ya great war as sio kirahisi rahiz hata mimi niporwe mchumba nicheke cheke tu.. Labda kama tulikuwa hatupendani lakini kama tulishatoana machozi ya upendo wote.. Lazima iwe vita
 
kudadadeki mi nilidhani ni peke yangu yaani kuna mtu niliyempenda sana kwa miaka miwili nae kanifungukia wikii hii kwamba eti nae ana mchumba! kah nyie binadamu hawana huruma nikamuuliza kwa hiyo mimi nilikuwa kaka yako siku zote wakati tupo kwenye relation???? Mungu kanipa nguvu nafanya mambo yangu japo kiukweli nimeumia sana nimebeba kisasi kikubwa sana Mungu anisaidie kinitoke!
 
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
Nenda shopping pendeza ,tafuta new hair style.nenda na style ya no contact.ata apige Vipi simu Hakuna kupokea ,tafuta rafiki mpya,nenda college Kama Huna degree.success is the best revange mwanangu
 
kudadadeki mi nilidhani ni peke yangu yaani kuna mtu niliyempenda sana kwa miaka miwili nae kanifungukia wikii hii kwamba eti nae ana mchumba! kah nyie binadamu hawana huruma nikamuuliza kwa hiyo mimi nilikuwa kaka yako siku zote wakati tupo kwenye relation???? Mungu kanipa nguvu nafanya mambo yangu japo kiukweli nimeumia sana nimebeba kisasi kikubwa sana Mungu anisaidie kinitoke!

tupa kule.....mwisho wa siku lazima maisha yaendelee.....
 
tupa kule.....mwisho wa siku lazima maisha yaendelee.....

umeonaeeeeeh huo ndio mpango mzima hakuna kitu kigumu duniani kama kupokea mabadiriko hasi aisee inahitaji uwe na moyo sana! kukubali ukweli kwamba bwana hapa mi sina changu ni kitu kigumu sana na wengi wetu huwa tunayumba sana katika wakati huu ila mwisho wa siku ndio hivo maisha yanaendelea
 
Naona kama zamu yangu inakaribia coz vilio vya mapenzi vimezidi aisee KICHWA KINAUMA KHAAA MAPENZI YA UKWELI YAMESHALIWA NA MBWA AISEE YAMEBAKI MAKWASUKWASU TU.I HATE LOVE
 
Naona kama zamu yangu inakaribia coz vilio vya mapenzi vimezidi aisee KICHWA KINAUMA KHAAA MAPENZI YA UKWELI YAMESHALIWA NA MBWA AISEE YAMEBAKI MAKWASUKWASU TU.I HATE LOVE

huku Yaeda tunasema.....mapensi ishakulwa na fisi.....manina wallah......
 
EXACTLY MY REASONS ZA KUTO KUSAMEHEEEE!!!!!1 This kind of MENTALITY!!!!!!!Mtu umemuhurumia anakuona ZOMBIII!!!!! Weeeeeeeeee! ONEA WA MTAANI KWENU HII NI BAD'S NUMBER!!!!!!!!!! Umemfaidi nani? SI NILIKUA NAKUCHUNA!!!!!!!! Uniache hivi hivi SIO MPANGO HUO!!!!!!!!

Ndio umeniacha BT I WILL MAKE SURE I LEAVE WITH YOUR 1. GOOD WILL. 2. RESPECT, 3. EGO, 4. MAN HOOD, 5. SOCIETY INFLUENCE

Nikiondoka NAKUPAKZIA MAMBO KIBAO 1. Hujui lolote Bed, 2. Kibamia 3. Bahili N PEOPLE WILL BELIEVE ANYTHING AS LONG AS YOU COMVISE THEM!!!!!!!

Hata siku mtu akitaja Lara 1 kama unakunywa maji, YANAKUPALIA UKIKUMBUKA MASWAHIBA YALIYOKUKUTA KWA UAMUZI WA KUNIACHA!!!!!

AhAhahahah, hizo ni dalili za kufurastrate tu! Moyoni umeumia kumegwa na kuachwa then unajifariji kwamba ulikuwa unamchuna, ahahahahaaaaa Mdogo wangu Lala1 unachekesha!
The best way mtu akikukosea may be amekumega na kukuacha mwache usimuulize chochote zaidi ya 'kumshukuru' kwa alichokutendea, basi!
Kwa type yako najua unachukua zaidi mazombi, nadhani hujamegwa na wanaume watukutu/makuli, siku yako itafika tu na kukwama kwa dume utakuja hapa na uzi ukiwa mpole?!
Sharobaro tu alikuingiza mkenge hadi akakuchuna baada ya nyinyi kunywa wine ya kichina akajiliza ukadhani ni zombi kumbe ni toto la mjini! Ahahahahaaaaaa Lala1 Dogo langu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimesikitishwa na comment za wanaume huku ila kumbukeni mungu atawanyima watoto wa kike lazima awape then,what goes arouund must come around.hongreni sana.bi dada diva chapa lapa mwaya haikuwa rizki hiyo ,kisicho rizki sometimes kinalambwa hakiliwi eeee
 
NASISITIZA JAMII INATAKIWA KUVUNJA UKIMYAAAA!!!!!!!! PEOPLE SHOULD PAY FOR EACH CRIME THEY COMMIT TO DESTROY MY LIFE!!!!!!!! (Hakuna Nidhamu ya Woga Hapa)

KOSA AFANYE YEYE, WHY SHOULD I BE ASHAMED!!!!!!! Never sweep dirty under the carpet!!!!!! Mtu HAWEZI KUJA KUJAMBIA JAMBIA MAISHA YANGU FOR 3 YEARS NA KUONDOKA AS IF NOTHING HAPPENED!!!!!! NEVERRRRRRRRRRRRR!!!!

Watu kama hao hawakawii kurudi tena kukuomba uwe Small House!!!!! It will NEVER END until YOU STAND UP FOR YOUR RIGHTS!!!!!!!

KUFICHA FICHA MAOVU NA KUKATAA UKWELI KUWA JITU LIMEHARIBU MAISHA YAKO HAKUJENGI!!!!!!!!! FACE YOUR GHOSTS BEFORE YOU MOVE FOWARD!!!!!!!! Because the past has always a way of cripping into your future. You can run but you can never hide, the past will find you!!!!!!

Kuhusu UBAZAZI SIUOGOPI AS LONG AS I STAND ON THE TRUTH N NOTHING BT THE TRUTH!!!!!!!!!

matured people always wants to release tension and not reloading. so if to you is a matter of seeking attention from other people i would understand but if it is for the case of letting it go forever, then the power of letting go shld drive you and not the power of attention.

huwez kugombana na mtu ukubwan ambaye una possibility ya kukutana nae very often kwenye haya maisha. to me once you are out i take it, that was not meant for me, and also God is protecting me from you. tena hapa ndipo ninapoaanza kuish maisha mazuri zaid ya yale unless niwe ni tegemezi kwake naweza pata shida kidogo ya kumtoa moyoni ila with my guts of seeking money and giving myself nikitakacho lolest! that shall never happen.

ndio maana siku zote huwa nalia na mabainti wadogo juu ya kutaka ukombozi wao hasa wa kiuchumi basi haya mabazazi mbona ni rahisi sana kuwadharau iwapo uko full independent especially cashwise.

ndugu mtoa mada mpotezee huyu hakuwa funu lako, tafuta hela fanya kazi jipe raha wako atakuja tu. tena hkama huyu atakuja na magoti mara ooh! mwanangu anaumwa sina hela ya kumtibia mara ooh! maisha yangu yamekuwa mabaya sana nisaidie mara ooh! wewe ulikuwa na nyota sana ila huyu nlonae wala simwelewi ni mwanamke wa balaa tu maishan mwangu, yaani hapo ndipo utakapokuja kujivunia kumwacha aondoke.
 
Mamito hiz theory haziapply nowdays!! Bila kuwa nunda mambo haiendi hayo maneno ya kina mama lwakatare yalifunction kwa wanaume wa enzi za nuhu hk ni .com gnrtn!!

Ushauri mzuri sana. Nakukubali sana dada.. Anachofanya lara 1 ni utoto tu. Akikua ataacha.

unless kama huyu lara 1 hana kazi ya kufanya ila kama yupo bize na kusaka fumba, huyu mwanaume ni mdogo sana tena ni wa kudharauliwa kwa namna ya ajabu. siku zote huwa ninasema ukombozi wa mwanamke ni mfuko wake baasi. Bazazi akikuletea za kuleta wewe mfukoni geji inasoma, unazidi kujipendezea na kuish maisha mazuri tu. mwanaume sio mtu wa kuendekezwa na kila siku akikuumiza ukilia na kusema nina revenge yaani utakuta husongi mbele una kazi ya kukodi matarumbeta kama Zinduna kusuta watu.

mume wangu wa kwanza ni kazi yangu, so kama wewe ukileta za kuleta mm nasepa na nabaki kukutizama tu.women shld stop being down headed, in life one mistake is one goal,you come in this side you go through in the other side.
 
Last edited by a moderator:
Kama hauko tayari kuutoa moyo wako kwa mwingine hakuna atakaye kuwa tayari kuutoa moyo wake kwaajili yako!

Haya maneo utayasahau kwani ipo siku utapendwa na utapenda
Kama wewe ulishawahi "kuutoa moyo wako kwa mwanamke", kwa hakika haiwezekana kuwa " bado ungali hai "...!
 
Mamito hiz theory haziapply nowdays!! Bila kuwa nunda mambo haiendi hayo maneno ya kina mama lwakatare yalifunction kwa wanaume wa enzi za nuhu hk ni .com gnrtn!!
Ciello hujakua bado, hivi umejiuliza kwann wanawake wengi sana siku hizi n wafanyabiashara tena wakubwa tu?? sababu ni kwamba wanataka kuwa huru maishan na ukweli wanawake wa zamani waliteseka kwa kuwategemea wanaume ila wa siku hizi wamejikomboa. ununda unaousema wewe wa kwenda kumtilia bifu mtu kisa kakuacha hivi iyo ni akili ama matope??? unatakkiwa uwe nunda kwa kusaka hela tena ya kwako kisha umwache ajilize kwa kitunguu anachokikata yeye. huna haja ya kuanzisha mtiti na mtu maishani ila uwe na muda wa kusaka fumba baasi.

nilisha wahi kusema na ninarudia tena leo, silaha yangu mm ni pesa yangu, baasi ukiondoka ondoka mm pesa yangu ndo silaha. nilishawah kutendwa na mume ila alipojiaminisha kwamba mm ni nunda alisalim amri asubuh na mapema manake alikuta sitetereki maishan kids ndo wanaendeza kuliko matatizo, outing ninazojitoa usipime na kila siku folen za kudeposit hela benk sikosi, halafu huku ndani niko kimya wala simuulizi kwa heri wala kwa shari, nilivumilia ila siku aliposhindwa kuisoma akili yangu alisalim amri lol! . bifu wala sina muda nalo, mie muda wangu ni kwenye chapaa maisha yangu yawe bora zaid na zaid.

usiongelee nadharia ongelea kivitendo je ni kweli mtu akikuacha unaanza kumtilia mtiti ofcn, home kwao, kwa marafiki kanisani nk??? huna cha kufanya wewe?? inabidi mkue.
 
Last edited by a moderator:
Ciello shost eti mama lwakatare kwikiwki na yale mavilembba makubwa lol,mimi kuachwa sijawahi ila kuacha niliacha na akaendelea kunifuata mpaka nimeolewa nikajua huyu ataingia anga zangu leo nikabeba cha moto,nikamwambia nyuma geuka chapa lapa!aliishia kutangaza yule mwabanke hatari anatembea na bastola,kumbe hubby alikuwa kasafiri nikapata upenyo ila that was the last hadhubutu hata kupiga simu.mtu uko nae kwenye mahusiano unakuja gundua ana 3kids wanawake tofauti then eti uendelkee kukaa hapo .tena unamwacha fasta unamwambia baaaaaaaaaas kama lara 1
 
Last edited by a moderator:
Anakutishia tu huyo ili aone reaction yako, unjua sasa wewe ufanyeje nenda pale kwake anapoishi tishia kujiua kwaajili yake, atabadili msimamo wake. Nakuona kweli uanamenda
akimuacha aendelee na zoezi lake atasema alikua anatania!
 
Hahahaaaaa! GOOD SPIRITS!!! ILA DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE!!!!!!! Siku 90 atampata wapi wa KUMUOA!!!!? Wanaume wa TABU kama nini siku hizi! WHAT ABT THE 3 YRS GOING ON THE DRAIN!!!!!!!!? Dont they MEAN ANYTHING!!!!!!! ANYTHING AT ALL!!!!!?

SAMAHANI LAKINI!!!!!! MAMBO YA WALIMWENGU HAYO!!!!!!!!!!!!

asikwambie mtu mwanaume wa maana kumpata ndani ya miez 3 sio rahisi hvo,may be wavaa suruali ndo wengi. Ukweli wanaume ni wachache, na hapo kwa uchache huo Toa mashoga,wasiotaka kuoa wala mahusiano,Toa pia waliooa,haya wanabaki wangapi?kweli si kazi rahisi ni muujiza tu wa mungu utendeke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom