Nimeumizwa

divalicious

Senior Member
Mar 1, 2011
112
31
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
 
Pole sana! Hayo ndio maisha yalivyo! You have to live like solder!

Usijali utasahau na utapata atakaye kupenda kwa dhati! Maumivu kwenye Mapenzi ni mambo ya kawaida!

Relax
 
Anakutishia tu huyo ili aone reaction yako, unjua sasa wewe ufanyeje nenda pale kwake anapoishi tishia kujiua kwaajili yake, atabadili msimamo wake. Nakuona kweli uanamenda
 
pawa Sozia alitishia kujinyonga kwenye mazingaombwe akafa kweli

wanafunzi wanashangilia makeke na manjonjo kumbe mwenzao anakata roho

sasa ni mwaka karibu wa 15 amejitanguliza mbele ya haki.

Kifo hakijaribishiwi

Anakutishia tu huyo ili aone reaction yako, unjua sasa wewe ufanyeje nenda pale kwake anapoishi tishia kujiua kwaajili yake, atabadili msimamo wake. Nakuona kweli uanamenda
 
kha!! chezea wanaume wewe!!!
ila miaka mitatu huku sense ata siku moja? alisha wahi kucheat katika kipindi hicho?

kubali yaishe...umezidiwa kete sasa sikilizia machungu.
ila wanaume jamani tuache hizi mambo za kukaa na demu miaka mingi na kuwapotezea muda alafu unakuja kuoa mwanamke mwengine.kama upo kiburudani mega baada ya mwaka muache. vibaya hivyo wakaka
 
Kama una mukia mukubwa ni pm sura hata ikiwa ya mtoto wa mkulima haina noma.Natumai hayo machungu yata pungua tu.
 
Aaaaaaaaaaah! Hizi MADA ZINANIKUMBUSHA MACHUNGU YANGU!!!!!!!! NGOJA KWANZA NIWATUSI MY X BFS WOTE WALIOA NA WALIO SINGLE AFU NITARUDI KUTOA DOZI YA MAUMIVU KWA MGONJWA!!!!!!!!! (Mi MBABEEEEEEE! MSIPIME KABISA!!!!!! X WOTE TUKIKUTANA LAZIMA WAPIGE U TURN WAKINIONA, KAMA WAMEKAA BAR LAZIMA NIKIINGIA WATOKE, KAMA NI CHURCH LAZIMA WAHAME BENCH!!!!! I NEVER LIKE NEVERRRRRR FORGIVE!!!!!!!!! UJE UJAMBIE MAISHA YANGU AFU UONDOKE HIV HIVI! WHO THE F! ARE U!!!!!!!!?) NITARUREJEA KIUSHAURI ZAIDI
 
pole sana binti ucjali yataisha hayo, mwenzio nina mwezi sasa tangu yanikute sasa wewe ni PM tu tuongee vizuri nimekuzidi miaka miwili tu

dah......matukio......pole sana.......
 
Sasa nakupa ushauri dume USIKUBALI KUWA MNYONGE NA KUYAMALIZA KIMYA KIMYA!!!!!!! THE BEST 3 YEARS OF YOUR LIFE AINT A JOKE!!!!!!!!! Yaani UMSAMEHE BURE!!!!!!!!!! I SAY BULLSHIT!!!!!!! Binti FIGHT BACK!!!!!!! Ukikaa kiunyonge UTAPATA PRESSURE NA KISUKARI UTUACHIE HUYO BWANA TUMCHUNE!!!!!!!!!!!!!! FUC* THE PEACE!!!!!!!! DECLARE WAR!!!!!!!! 1. Nenda kwao huyo kaka waeleze UFIRAUNI WAKE WOTE (DONT LET HIM GET AWAY WITH IT!!!! NOT A DIME OF IT! MAKE HIM PAY!) Haitokupunguzia maumivu ila itakupa nguvu ya KUJUA WATU WA KARIBU YAKE WAMEMJUA UNDANI WAKE!!!!!!! Mazafanta mkubwa huyo!!!!! 2. Mtafute bibi harusi umueleze jinsi huyo Mazafanta alivokuwa NANYI NYOTE KWA MPIGO FOR 3 YRS!!!!!! Dnt feel bad its the truth anyway!!!!! Akiamua kuendelea nae ILA UKWELI KAUJUA(You will be doing her a favour) 3. Tell all his friends WHAT TYPE OF GUY HE IS!!!! Ndio wamjue uzuri tabia yake chafuuu!!!!!!!! 4. Tafuta mtu wa ofisini kwao UMPE FULL STORY ( PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!) Na umbea wa ofisini unavosambaaa WAKICHANGA WAJUE BWANA HARUSI Mazafanta ndio!!!! Vurugavuruga hali ya hewa ya harusi!!!!!!!

USIKUBALI KABISA MTU AJE MAISHANI MWAKO AJAMBIE JAMBIE MAISHA YAKO AFU AONDOKE WITHOUT PAYING FOR HIS CRIMES!!!!!!! HELL TO THE NO!!!!!!!!! Mimi X Wangu wote ZOEZI LA KUPAY FOR THEIR CRIMES NI CONTINUOUS!!!!!!!! Hawatokaa WASAHAU SIKU WALIOINGIA MAISHANI MWANGU!!!!!!!!! Mtu anakufanyia umafya afu anapiga "IM SO SORRY!" SORRY MY BIG FAT A**!!!!!!!!!
 
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.

Kisicho riziki hakiliki tafuta nawe wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom