Nimeumizwa

Nimeumizwa

Hv we dada unaongea utoko wa aina gani??hv umejiuliza hata huyu dada kabla ya kua na huyu kaka kawaacha machizi wangap??kwani ni lazimaaolewe na huyu kaka??unajuaje kama kuna mengi kayafanya na huyu kaka kavumilia ila huyu dada hajaweza kusema??watu wanaachana kwenye ndoa itakua hizi bf n gf zetu??y r u tht biased?unamkomoa nani??tatizo mnajiona malaika nn??u jus hav to concentrate on ths status sio hzo zako,una mentality chafu sa na ndomkitu kilichowafanya wakuguse na watambae

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa! NAONA UMETUMIA FAKE ID KUJA KUJIBU POST ZANGU!!!!!!!! Kama unataka majibu yangu TUMIA REAL ID YAKO!!!!!!!!!! Vinginevyo siongei na fekeroooooooooo!!!!!!
 
kama diva loveness love wa clouds fm vile.!

we endelea kuwa 'diva'...and the only diva

Hahahaha hawa madiva wanamaigizo hawa hahahahaha wanajiona madiva sana kama yule utoko wa clouds hahah
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa! NAONA UMETUMIA FAKE ID KUJA KUJIBU POST ZANGU!!!!!!!! Kama unataka majibu yangu TUMIA REAL ID YAKO!!!!!!!!!! Vinginevyo siongei na fekeroooooooooo!!!!!!


acha kuchanganya madawa ww
unaona kama wote ni feki kama ww nn???????
u just hv to b real,sijapenda ushauri na usela mavi wako thats all,eti kubwa la maadui unacheza ww
 
unless kama huyu lara 1 hana kazi ya kufanya ila kama yupo bize na kusaka fumba, huyu mwanaume ni mdogo sana tena ni wa kudharauliwa kwa namna ya ajabu. siku zote huwa ninasema ukombozi wa mwanamke ni mfuko wake baasi. Bazazi akikuletea za kuleta wewe mfukoni geji inasoma, unazidi kujipendezea na kuish maisha mazuri tu. mwanaume sio mtu wa kuendekezwa na kila siku akikuumiza ukilia na kusema nina revenge yaani utakuta husongi mbele una kazi ya kukodi matarumbeta kama Zinduna kusuta watu.

mume wangu wa kwanza ni kazi yangu, so kama wewe ukileta za kuleta mm nasepa na nabaki kukutizama tu.women shld stop being down headed, in life one mistake is one goal,you come in this side you go through in the other side.

Nini tena Jamani gfsonwin. Nimefanza nini tena Bandugu. Miye mzima wa afya, najaribu kuikimbiza shilingi ili niongeze mitego qa kinadada. Hii ni qa vile Mungu aliwaumba qa ajili ya Nyamaume wala sio kinyume chake.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom