Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa , ukweli wa jambo hilo umeibuliwa. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho amesema, madai yanayotolewa na watu mitaani na katika mitandao ya kijamii yakisema Dk. Slaa amekasirishwa na kitendo hicho ni ya uongo.
"Kwa taarifa yako, Dk. Slaa ndiye aliyemtaka Lowassa ajiunge Chadema.

Mbowe (Freeman, Mwenyekiti wa Taifa Chadema) hakumtaka kabisa huyu jamaa aje kwetu. Kwa sababu hakuona jinsi gani wangewaeleza wananchi juu yake, lakini mzee ndiye aliyeshawishi na vikao vya kumjadili vikaanza mfululizo. Ukiangalia picha za awali, Dk. Slaa yupo. Kinachotokea kwa Dk. Slaa ni shinikizo kutoka familia yake.

Kuna watu walikuwa na matumaini makubwa ya kufaidika endapo yeye angegombea tena na kushinda urais mwaka huu, hivyo wameamua kununa kwa sababu kilichotokea hakina masilahi kwa familia." alisema mjumbe huyo wa kamati kuu . Source: GPL

 
Sijawahi kuumizwa na mwanasiasa kama safari Hii ya Dr Slaa .Amenifanya nijutie kuwa mfuasi wa siasa hasa siasa ya upinzani
 
[h=5]


East Africa Television (EATV)
[/h]Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa , ukweli wa jambo hilo umeibuliwa. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho amesema, madai yanayotolewa na watu mitaani na katika mitandao ya kijamii yakisema Dk. Slaa amekasirishwa na kitendo hicho ni ya uongo.
“Kwa taarifa yako, Dk. Slaa ndiye aliyemtaka Lowassa ajiunge Chadema. Mbowe (Freeman, Mwenyekiti wa Taifa Chadema) hakumtaka kabisa huyu jamaa aje kwetu. Kwa sababu hakuona jinsi gani wangewaeleza wananchi juu yake, lakini mzee ndiye aliyeshawishi na vikao vya kumjadili vikaanza mfululizo. Ukiangalia picha za awali, Dk. Slaa yupo. Kinachotokea kwa Dk. Slaa ni shinikizo kutoka familia yake. Kuna watu walikuwa na matumaini makubwa ya kufaidika endapo yeye angegombea tena na kushinda urais mwaka huu, hivyo wameamua kununa kwa sababu kilichotokea hakina masilahi kwa familia." alisema mjumbe huyo wa kamati kuu . Source: GPL
Nini maoni yako?





Ni post nzuri ya kurekebisha mambo nimeipenda shida ni hicho chanzo.... Katika vyanzo vya habari ninavyovidharau hicho kinashika no moja
 
Siku zote ili kufikia mabadiliko lazima uumie. Maumivu tuliyo nayo yanaonyesha kuna mabadiliko makubwa yanakuja kutokea ndani ya nchi hii. Nina hamu kubwa ya ccm kuachia ngazi mwaka huu!!
 
Inabidi busara itumike kumaliza tofauti zao ndani ya chama maana watanzania wengi tuna imani na chadema
 
huyo aliyekupa hiyo taarifa ni nani ambaye ni zaidi ya MBOWE aliyesema walitofautiana na SLAA juu ya ujio wa LOWASSA katika chama cha CHADEMA?
 



East Africa Television (EATV)


Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa , ukweli wa jambo hilo umeibuliwa. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho amesema, madai yanayotolewa na watu mitaani na katika mitandao ya kijamii yakisema Dk. Slaa amekasirishwa na kitendo hicho ni ya uongo.
"Kwa taarifa yako, Dk. Slaa ndiye aliyemtaka Lowassa ajiunge Chadema. Mbowe (Freeman, Mwenyekiti wa Taifa Chadema) hakumtaka kabisa huyu jamaa aje kwetu. Kwa sababu hakuona jinsi gani wangewaeleza wananchi juu yake, lakini mzee ndiye aliyeshawishi na vikao vya kumjadili vikaanza mfululizo. Ukiangalia picha za awali, Dk. Slaa yupo. Kinachotokea kwa Dk. Slaa ni shinikizo kutoka familia yake. Kuna watu walikuwa na matumaini makubwa ya kufaidika endapo yeye angegombea tena na kushinda urais mwaka huu, hivyo wameamua kununa kwa sababu kilichotokea hakina masilahi kwa familia." alisema mjumbe huyo wa kamati kuu . Source: GPL
Nini maoni yako?





Jamani msicheze na Nembo za watu.Hiii habari nimeipuuza ka kuwa juu inaonyesha chanzo kingine na chini nacho ni chanzo kingine.Hivi mnafanya hivi ili iwe nini
 
Udaku....habari yenyewe imejaa mkanganyiko kibao..
 
Josephine Mshumbushi alikuwa anaota kuwa first lady .....sasa mambo yameenda kombo...
Ukiwa tegemezi ujiandae vile vile kupigwa butwaa!!
 
Naona juhudi zinaongezwa kumchafua Dr.Slaa na familia yake.

Nawasihi Chadema na Team Lowassa endeleeni na harakati zenu mwacheni Dr apumzike.!
 
ni kweli kabisa, alimkaribisha halafu yeye akauwa winga...
 
awajui hata kuongopa, jaribu kuwa mbunifu na makini ktk uongo wako.
 
Hii habari ina matege flani hivi EATV nao eti wameitoa Gloabal Publisher magazeti ya udaku
 
Siipendi cdm. Lkn msimamo wa dk Slaa taukumbuka daima. Huyu mtu ana sifa zote, msomi, mkongwe na mweledi wa siasa. Anajipambanua kwa kuchukia wahujumu uchumi/mafisadi. Sioni muujiza wowote wa kumkutanisha na Lowasa. Slaa hana bei ila ana principal anazoishi nazo. Utu wake uko kwenye ukweli wake. Namshauri aende CCM, CCM wamemsikia wamemwelewa na wameanza kazi ya kuwafyeka mafisadi. Slaa anajua ufisadi ni hulka, haupo ktk maandiko ya vyama. Kwa hiyo, mtu anahama na hulka na anaachana na makatazo ya maandiko!!!

lumumba/magamba team...mko bus sana....mnahaha km mtamba unaongia ktk joto...magamba poleni.
 
[font=&amp]angalizo kwa dr slaa na lowasa[/font]
[font=&amp]kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha slaa ambaye ana taalum ya upadri.[/font]
[font=&amp]katika kitabu cha matendo ya mitume kuna ushahidi kwa sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.[/font]

[font=&amp]wakati sauli anafanya hivyo mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo paulo (aliyekuwa sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko mitume wote.[/font]

[font=&amp]bila shaka kuna watu ndani ya chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa lowasa ati ni fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:[/font]
[font=&amp](1)lowasa amehama ccm na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango kikubwa.[/font]
[font=&amp](2)lowasa yupo tayari kutumia pesa yake na mali yake kubomoa ccm[/font]
[font=&amp](3)lowasa anahasira kali na ccm na miungu watu ndani ya ccm[/font]
[font=&amp](4)lowasa kama waziri mkuu mstafu ametake risk ya kifo kiasi kwamba anataka kupiga ccm kwa nyaraka zito za siri ambazo slaa hawezi kuzielezea[/font]
[font=&amp](5) lowasa anajua mikakati ya wizi wa kura ndani ya ccm kwa miakazaidi ya 40[/font]
[font=&amp](6) ndani ya ccm hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki[/font]
[font=&amp]huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai[/font]
[font=&amp](7)kwa sasa ccm wanahaha sana juu ya lowasa kuchukua form. Mikakati ya ccm iliielekeza nguvu kumshambulia slaa lakini mungu amebadili plan ghafla na kumuleta lowasa amabaye hawajajipanga nan i pigo kubwa[/font]
[font=&amp](8)kwa sasa uasi uliojitokeza ccm ni vigumu kujua nani yupo kwa nani[/font]
[font=&amp]angalia mtandao wa lowasa ndani ya ccm unatisha na umetulia kimia.[/font]
[font=&amp]mtandao huu jumlisha nguvu ya umma ni lazima ccm ibaki kama kanu[/font]
[font=&amp]maoni kwa slaa.[/font]
[font=&amp](1)wakati unagombea urais ulikuwa na rozi kamili ukamwacha na kumuoa josephine[/font]
[font=&amp]rozi kamili alikubali ujio wa josephine lakini leo josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.[/font]
[font=&amp](2)mambo ya chama huwezi kumuhusisha mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.[/font]
[font=&amp]mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa first lady na hata wewe hufai kuwa kiongozi[/font]
[font=&amp]maoni kwa lowasa[/font]
[font=&amp](1)umeitwa mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe ushahidi[/font]
[font=&amp](2) zipo taarifa kwamba ccm wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .muombe mungu .hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena[/font]
[font=&amp](3)usiogope kushambulia ikulu kwa kuwa mussa alikaa ikulu ya farao na kulelewa hapo lakini mungu alimupa kazi ya kumuangamiza farao.[/font]
[font=&amp]hivyo lowasa umepewa kazi ya kuingamiza ccm hivyo fanya kweli ujue kwamba slaa hajui haya.[/font]

naamini dr slaa ameyaona haya maoni yako na anaelewa vizuri tuu....kuna wakati wa kulaumiana na wakati wa kupambana. Dr. Slaa tunakuhitaji wakati huu kuliko wakati wowote wa maisha yako ndani ya siasa.

Elewa kuwa kuanguka au kusimama kwa chadema na demokrasia ya kweli inategemea ushindi huu tunaouhitaji na kama sio jitihada zako leo hii lowasa asingekuja huku kwetu,.....baba tafadhali...tupo chini ya miguu yako. Angalia nyuma rudi tusaidiane kuvuka bahari ya shamu tuende nchi ya ahadi.
 
Taarifa Maalum Kwa Wana Ukawa Wote Kuhusu Dk Wilbroad Slaa,
Magazeti Yanayomilikiwa Na Ccm Na Mawakala Wake Wiki Sasa Yanaripoti Kuwa Dk Wilbroad Slaa Anataka Kuhama Chadema!
Tumehamua Kujibu Magazati Hayo Kwa Kuwa Yanaendelea Kuwachanganya Watanzania, Ni Ukweli Ni Wiki Sasa Dk Slaa Hajaonekana Hadharani,
Ukweli Wa Mambo Ni Kwamba Dk Wilbroad Slaa Yupo Mapumziko Na Alianza Tarehe 31.7.2015 Na Likizo Yake Itamalizika 7.8.2015 Na Yeye Tarehe 8.8.2015 Ndiye Atakaye Mtambulisha Rasmi Mh Edward Lowassa Kwa Wananchi Mkutano Ambao Unategemewa Kufanyika Katika Uwanja Mpya Wa Taifa! Na Leo Hatoweza Kuhudhuria Mkutano Mkuu Wa Baraza Unaoondelea Katika Ukumbi Wa LAPF , Makumbusho!
Ukiwa Kama Mwana Ukawa Tunakuomba Ushare Taarifa Hii Kwenye Magroup Uliopo Na Kwa Marafiki Zako Ili Kila Mwana Ukawa Popote Alipo Ajue Kinachoendelea Ili Asichanganywe Na Magazeti Ya Ccm!
 
Naunga mkono hoja. Wanachadema tunakupenda na kukuamini. Ni muda wa kuungana na kuitoa ccm bila kujali tunatumia tool gani
 
Back
Top Bottom