Nimeumia sana

mama pita

Member
Jul 20, 2012
97
139
Roho imeniuma sana.

Nimezaa na aliyekua mchumba wangu, kutokana na matatizo ya hapa na pale hatukubahatika kufunga ndoa japo tuliachana vibaya lakini nilijipa moyo tu.

Nilipojifungua nilimtaarifu alinipa hongera japo hakuhudumia wala matimizi hakutoa ila alitoa jina na hatukuwasiliana tena na ni miezi 2 sasa.
kabla alikua anamtoto wa miaka 7 alizaa na mwanamke mwingine na walisha achana pia.

Leo nimetumia acount ya mtu mwingine fb nimechart nae mpaka kafikia kunitaka uchumba katika kukibali nikamwelezea story feki ya maisha na yeye akaniambia.
Kilichoniuma hamtambui mtoto wangu kasema anamtoto mmoja tu.

Nimeumia sana mungu shahidi sijawahi kumsaliti na yeye analijua hilo sikuwahi kabisa kumchanganya na mwanaume mwingine mungu wangu wa mbinguni ni shahidi.

Hata kama mimi hanitaki kwa nn asimtambue mtoto wake? asimtunze sawa lakini ajue ni mtoto wake, nimeumia sana jamani.
 
Mtu kashasepa,hajamtambua mtoto in real life,unataka amtambue facebook??li akili lake linamtuma huyo mtoto si wake,move on my dear ....kutumia fake profile kumfatilia ni kutafuta magonjwa ya moyo tu.......utampata mwingine atakayemlea kwa upendo tu....
 
Ajataja miaka yamwanae kasemamtoto mmojaw unajuaje niwako....kwenyehilobado atukopamoja ingawa nashauri uje kawe kwagwajima tumrudishe mumeo uenjoynae kamabadounampenda usihofu anasemanini tunaitajikujua unaitajji ninii tumwite Mungu afanye
 
Hizi sapraizi za kutupima hizi matokeo yake ndio hayo. Asingeweza kuwa mjinga na ku-expose maisha yake. Pengine alijua ni nani anawasiliana nae. Pole sana mpwa
 
Mama pita mtu ulishajua kabisa amekupotesea tayar kumtafta fb kwa id tofaut inahu nini????
 
Ajataja miaka yamwanae kasemamtoto mmojaw unajuaje niwako....kwenyehilobado atukopamoja ingawa nashauri uje kawe kwagwajima tumrudishe mumeo uenjoynae kamabadounampenda usihofu anasemanini tunaitajikujua unaitajji ninii tumwite Mungu afanye

kataja anabint wa miaka 7 ambae ni wa yule dada mwingine
 
Ajataja miaka yamwanae kasemamtoto mmojaw unajuaje niwako....kwenyehilobado atukopamoja ingawa nashauri uje kawe kwagwajima tumrudishe mumeo uenjoynae kamabadounampenda usihofu anasemanini tunaitajikujua unaitajji ninii tumwite Mungu afanye

kuna movie moja ya america baba aliwatosa mama na mwanae,kijana alipokua akaanza kushirikiana na mama yake,akaanza kucheza basketball akakubalika,siku anapewa dili kubwa ya kusajiliwa baba naye anakuja na kudai ni mtoto wake
 
uwiiii niko nawaza hapa baba salim angemkana mwanae??????? ni shida
 
Inaonekana huna shughuli ya kufanya wewe...

Ni nini lilikua lengo la wewe kujitongozesha huko facebook?

Huwa tunaishi mara moja tu, kukosea sio kipimo cha kushindwa bali ni dalili kuwa angalau kuna kitu umejaribu...

Tunza mtoto huyo acha kuhangaika na watu wasiojua thamani ya maisha yako...
 
kuna movie moja ya america baba aliwatosa mama na mwanae,kijana alipokua akaanza kushirikiana na mama yake,akaanza kucheza basketball akakubalika,siku anapewa dili kubwa ya kusajiliwa baba naye anakuja na kudai ni mtoto wake

Hii story mie niliisoma kwenye novel flan...
 
Inaonekana huna shughuli ya kufanya wewe...

Ni nini lilikua lengo la wewe kujitongozesha huko facebook?

Huwa tunaishi mara moja tu, kukosea sio kipimo cha kushindwa bali ni dalili kuwa angalau kuna kitu umejaribu...

Tunza mtoto huyo acha kuhangaika na watu wasiojua thamani ya maisha yako...

Halafu mtu mmeshaachana.......unamfuatilia wa nini........?......hakuna watu wengine.........Dr ki ukweli mimi watu wengine huwa wananishangaza sana............hujazaliwa nae unamganda wa nini.........tupa kule.......YOLO...........
 
pole sana sidhani kama ulilofanya liko sahihi kaza roho mlee mwanao hata mie nimepitia huko inauma sana ila kama unajua umuhimu wa mwanao nadhani utamjali sana mwanao kuliko kupoteza mda fb
 
Hivikwa nini mtu anakuwa mgumu kuelewa? Jikubali kwamba hakutaki yaani haupo moyoni mwake kubali hivyo aliyekwambia baada ya yeye hutopata mwingine nani? Nini kumfatafata? Halafu wanawake wengi wanatabia hii ya kuamini atarudi tu, inaniumiza sana. Tulia, jipange, anza moja.
 
Back
Top Bottom