Nimeumia sana

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,699
2,000
Kukosea wakati wakwenda kurudi unarudi mwenyewe soma radar ya chenge utoke ok??
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,853
2,000
Pole hiyyo ni sehemu ya maisha kila mtu ana magumu yake.

Jibidishe umpe mwanao malezi mema na atakufuta haya maumivu uliyonayo sasa.
 
Honey Faith

JF-Expert Member
Aug 21, 2013
15,797
2,000
Kama mtu hakutaki achana nae maana kakuepushia mengi kinachotakiwa wewe kubali hali na uendelee na maisha yako
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
54,083
2,000
Pole sana mama pita. Lakini mtu mlishaachana unaendelea kumfuatilia wa nini? Daaah unanisononesha aisee
 
Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,014
2,000
Move on with your life achana nae siku akikumbuka ana mtoto atakutafuta hapo ndio mtaelewana vizuri. Mi huwa nawashangaa Sana wanaume wenzangu mtoto unamkataa kwani ye amekosea wapi? Sawa inawezekana mwanamke hatuelewani lakini si kwa mtoto. Tubadilike.
 
Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,691
2,000
Move on with your life achana nae siku akikumbuka ana mtoto atakutafuta hapo ndio mtaelewana vizuri. Mi huwa nawashangaa Sana wanaume wenzangu mtoto unamkataa kwani ye amekosea wapi? Sawa inawezekana mwanamke hatuelewani lakini si kwa mtoto. Tubadilike.

wanakimbia majukumu kulea si lelemama pole mamapita be strong
 
Last edited by a moderator:

patrickkkkky

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
469
195
Ajataja miaka yamwanae kasemamtoto mmojaw unajuaje niwako....kwenyehilobado atukopamoja ingawa nashauri uje kawe kwagwajima tumrudishe mumeo uenjoynae kamabadounampenda usihofu anasemanini tunaitajikujua unaitajji ninii tumwite Mungu afanye

gwajima huyu huyu mzee wa papuchi?
 
Sara

JF-Expert Member
Aug 3, 2014
1,060
2,000
Halafu mtu mmeshaachana.......unamfuatilia wa nini........?......hakuna watu wengine.........Dr ki ukweli mimi watu wengine huwa wananishangaza sana............hujazaliwa nae unamganda wa nini.........tupa kule.......YOLO...........

Sijui mtoa mada ana umri gani? Ila kwa mwanamke aliezaa anakua na akili Ya ziada
Kama mpaka sasa anamganda huyo jamaa basi kunakitu hujataka kuandika kuhusu mahusiano yao.
 
Mocrana

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
536
250
dada maisha yanaendelelea yeye si Mungu bwana achilia huo mzigo myoni mwako, mpende mwanao, fanya kazi kwa bidii, kama ni kosa lilishafanyika kung'uta fumbi songa mbele mama, yaani bado unamfuatilia tuu hadi fb wanini huyo, kwanza anaonekana bado hajakua kiakili hata angekuwa mume wako ungekuwa na shida sana, huwezi jua Mungu amekuepusha na balaa gai, acha kulalamika banaaa. Ila ukamwachia atoe na jina la mtoto chaaa
 
Given

Member
Oct 11, 2010
82
125
Pole,ni kuwa alikuwa hakuamini, hivyo anadhani mtoto si wake. Au tuseme haamini kuwa huyo mtoto ni wake.
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,321
2,000
Dada achana na huyo jamaa...huyo ni mmoja kati ya wanaume suruali wasiojitambua.........
Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu......
Mwanaume wa kweli huwajibika......
Mwanaume wa kweli ni kiongozi...........
Huyo jamaa amepoteza sifa ya kuwa mwanaume.....kwahiyo achana nae.......asikutie presha lea mwanao aje kukusaidia......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ntiliabhose

Member
Dec 31, 2012
78
0
Kama hata mia yake huyo mtoto hajui y usisimame ww kama ww,ww ndo umemzaa huyo mtoto uchungu unaujua,simama imara fanya yako kwa ajili ya mwanao mbona watoto wengi tu wamelelewa na mama na wako poa,
 
NDIPO

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
358
195
Halafu mtu mmeshaachana.......unamfuatilia wa nini........?......hakuna watu wengine.........Dr ki ukweli mimi watu wengine huwa wananishangaza sana............hujazaliwa nae unamganda wa nini.........tupa kule.......YOLO...........

asimfuatilie mzazi mwenzake? atamwambia nini mwanae atapouliza babaye? bt me namshauri kama amechat naye wamekubaliana aombe kukutana naye aone atafanyaje wakikutana, huenda naye amemsahau Na akaomba kumate tens. hapo ndo ampe vidonge vyake
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,308
2,000
asimfuatilie mzazi mwenzake? atamwambia nini mwanae atapouliza babaye? bt me namshauri kama amechat naye wamekubaliana aombe kukutana naye aone atafanyaje wakikutana, huenda naye amemsahau Na akaomba kumate tens. hapo ndo ampe vidonge vyake

Huo muda wote unatoka wapi.........?.....Hana kazi ya kufanya.......?......huyo mzazi mwenzie yeye anamfuatilia........?.....mtu Hana time na wewe unamfuatilia wa nini.......?......mtoto akimuuliza atamwambia ilivyokuwa full stop............
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom