Huwa sikuelewagi kabi
Surayenyewe siielewi utanielewa kweli
kuna movie moja ya america baba aliwatosa mama na mwanae,kijana alipokua akaanza kushirikiana na mama yake,akaanza kucheza basketball akakubalika,siku anapewa dili kubwa ya kusajiliwa baba naye anakuja na kudai ni mtoto wake