Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,808
- 59,358
Pole lakini acha ujinga.
Mtoto ana miezi miwili badala ya kuweka nguvu na muda wako kumjali yeye unamfuatilia mtu aliyekuacha facebook ili iweje??!GROW UP and MOVE ON, acha kujitafutia magonjwa ya moyo. I mean ni wazi wewe ndo uliyeachwa na uchungu na unatamani huyo jamaa ajirudie lakini usijishushe thamani kiasi hicho. Na ujue kabisa kwamba alikutreat vibaya kwasababu ulimuonyesha kwamba wewe sio chochote bila yeye.
Hamishia akili na mahaba yako kwa mtoto. Huyo ndio anaekupenda kweli sasa hivi na una maana sana kwake. Mpende na atakupenda pia.