Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

MZEE MSASAMBEGU
Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni. Stori hii nimezowea kuisikia toka kwa akina dada/mama, kumbe na wengine wamo!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mzee Msasambegu una haki ya kulia kwa kuchezewa na huyo mdada...Watu wanaona jambo la ajabu wewe kulilia haki yako lakini kwa tamaduni zetu ni nadra kumkuta mwanaume rijali awe kijana au mzee kulilia kisa katolewa bikra yake....Nina wasiwasi na uanamume wako
 
Ka kupiga dole la jichoniii au kule!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
uuuuwi mwanaume unachezewa wewe hata ukipewa mke kila siku utakuwa unalialia, mwanaume kaumbiwa shida sio kulialia tu kakutosa tafuta mwingine, mwanaume hutakiwi kupenda unatakiwa utamani tu,

Hebu mueleze huyu dogo, like seriously anatu dhalilisha sisi wanaume !!! Alicho andika humun ni utoto na ulimbukeni mtupu.
 
Kumbe wanaume nao wanchezewa pia, afadhali nimejifunza kitu hapa
 
hii kali yani mwanaume nae analalamika kachezewa na binti
 
aiseeeeeh!!!!!!!

tatizo siyo wewe , itakuwa huna hela ila akavumilia akajua atakutana na mandingo........ matokeo yake kakuta kibamia na hujui kukitumia ........

pole sana.
 
Kakuchezea huko au kachezea hisia zako? na kama kapata kiburi baada tu ya kukupata maana yake ni kuwa huwezi mambo,zaidi anajua yeye
 
When one door of happiness closes, another opens; but often we look so long at the closed door that we do not see the one which has been opened for us.
 
Wadada wanatuchezea sana siku hizi na kutuacha. Only calling us when they want to ***. Chaa! Kiruu! No more! Now I am loving me for me! I'm sick and tired of females toying with my emotions...sasa basi...no more! nkikii

Na
M mbado, kutawanyo mpaka kukome
 
Back
Top Bottom