Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

kuna watu humu hamnazo wewe huwaoni wenzako humu post kibao wanatafuta vidosho hama hivyo chamsingi m pm yule jamaa anayetafuta watoto umpe namba ya huyoo binti

Hahahahaha lol!!! Mkuu Tized hebu nafasi ikikuruhusu weka hapa definition ya "kuchezewa"

Hahahahahahahaaaaa!!! You made my day.

Ongea na mwanasheria wako Mkuu. Lazima kutakuwa na kifungu kinachohusu wewe kuchezewa kwa hiari wakati unamchezea mwenzako. Kama sikosei ni faini ya Milion 1 au Jela miaka miwili au vyote kwa pamoja.

Wakome kukuchezea... Allllaaaaaaaahhh!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha natamani kumchezea mtu!
Sijui nimtongoze naaaani yaillahiiii!
 
pole sana mkuu. yaani amekuharibia maisha kabisa, amekupotezea muda na ujana wako. duh. basi tena huna dili.
 
Hahahahahahahaaaaa!!! You
made my day.

Ongea na mwanasheria wako Mkuu. Lazima kutakuwa na kifungu kinachohusu
wewe kuchezewa kwa hiari wakati unamchezea mwenzako. Kama sikosei ni
faini ya Milion 1 au Jela miaka miwili au vyote kwa pamoja.

Wakome kukuchezea... Allllaaaaaaaahhh!!!!!!

section 160 of the law of marriage act inaongelea presumption of marriage na hawa wamedum miaka 3 sasa hamuoni kweli kachezewa?
 
Mungu mkubwa...! kweli hii sread ya jamaa imenichekesha na kunifurahisha sana.
nakupa ushauri kama vile sisi wanaume tunavyochezeana na wanawake na kuwaacha nao wakaanza kutufuatilia, hebu nawe mfuatilie kwa nguvu zako zote za kiume....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahahahaaaaa!!! You made my day.

Ongea na mwanasheria wako Mkuu. Lazima kutakuwa na kifungu kinachohusu wewe kuchezewa kwa hiari wakati unamchezea mwenzako. Kama sikosei ni faini ya Milion 1 au Jela miaka miwili au vyote kwa pamoja.

Wakome kukuchezea... Allllaaaaaaaahhh!!!!!!
Ha ha ha ha ha ha ha....ur really somethn...asee..
 
Hahahaha!!Na viboko ishirini(20)yaani kumi(10)anaingia na kumi(10)anatoka....
 
Hahahahahaaaa.. Mkuu BAK ngoja nimuite MCHEZEWA MZEE MSASAMBEGU atusaidie kudadavua hilo nezo!!!!
Mchezewa tafadhali uwanja wako sasa.

Hahahahaha lol!!! Mkuu Tized hebu nafasi ikikuruhusu weka hapa definition ya "kuchezewa"
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Faini yake ikoje kwa mtu aliechezewa kaka?
section 160 of the law of marriage act inaongelea presumption of marriage na hawa wamedum miaka 3 sasa hamuoni kweli kachezewa?

Tuungane mkuu kupinga hili tukio la mwenzetu kuchezewa. Jamaa wa kabila fulani alichukua wale wanaojiuzaga.... wakiwa tendoni... binti akaanza kuonesha ufundi wake.... jamaaa anakomaa hela za kwangu halafu bado wewe ndio unatawala jukwaa..... TULIA huko (sijui kama ni chai au ni kweli lkn niliisikiaga wakati wa ujana wangu).
Ha ha ha ha ha ha ha....ur really somethn...asee..
 
Kama ulimkuta si bikira basi tambua ya kwamba dude y'a game is low...

Otherwise nenda kapime ngoma usujekuwa umeunganishwa na gridi ya taifa...

Tuliahidiana tusifanye zinaa mpaka tukimaliza shule but baada ya kumaliza shule amenilaghai na kufanikiwa ku do na mimi.

But tangu apate alichokitaka amekuwa ni mtu wa kiburi kwangu and week iliyopita ndo kaniambia ukweli kuwa tuachane hataki kuendelea kuwa na mimi.
 
Me natafuta mtu wa kumchezea uko tayar kwa mara ya pili ili ikomae kiakil
 
Back
Top Bottom