MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
- Thread starter
- #41
Samahani mkuu ila unauhakika wewe ni mwanaume?
Yap na uhakika
Samahani mkuu ila unauhakika wewe ni mwanaume?
ulikua bikra?
Hakikuwa chini ya Kiwango nauhakikaMkuu hebu jiulize kwa nini awe na kiburi baada ya kupata alichokuwa akitaka?! Si kwamba ulichompa kilikuwa chini ya kiwango..?!
Alikuwa bikra wa kiume huyu.
Duuh, kweli kakuchezea, maana kakutongoza then kakushawishi mgegedane afu kakumwaga!!
usikubali nakwambia nenda kamshtaki tu huyo.
pole sana ndo uwanaume huo, kashakufungulia njia, tafuta na wewe mwanamke wa kuchezea sasa...Sijawah kuwa na mwanamke kabda yake
Ulikuwa haufikishi bana
Sitongozeki kirahc nasijawahh ku date na wanawake zaidi ya huyu mmojaUsijali inaelekea unatongozeka kirahisi,utapata mwingine, mwanamke anakuchezea ujue ameshajua shida zako 🙁😀
Hahahahah.... Mpishi kazidisha chumvi bas tena pishi lote limedoda
Ahsante sana kwa maneno Yako mazuri Ya kunifariji,ubarikiweMaskini alichezea hisia zako,pole haya mambo yapo,
usilipize kisasi,sahau endelea na maisha,
we live once only usiwekeze akili kwenye jambo la kukuumiza,
wekeza kwenye jambo la kukupa furaha,
Mibichwa yenu imekaa kuwa kuchezewa anachezewa mwanamke tu.Hata sisi tunachezewa pia,kama mleta mada,kwani sie Gegedo tunanunua??
uuuuwi mwanaume unachezewa wewe hata ukipewa mke kila siku utakuwa unalialia, mwanaume kaumbiwa shida sio kulialia tu kakutosa tafuta mwingine, mwanaume hutakiwi kupenda unatakiwa utamani tu,