Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

Hahahahahahahaaaaa!!! You made my day.

Ongea na mwanasheria wako Mkuu. Lazima kutakuwa na kifungu kinachohusu wewe kuchezewa kwa hiari wakati unamchezea mwenzako. Kama sikosei ni faini ya Milion 1 au Jela miaka miwili au vyote kwa pamoja.

Wakome kukuchezea... Allllaaaaaaaahhh!!!!!!

Hahahahahahaah mi pia kanichekesha tena saannaa
 
MZEE MSASAMBEGU


Samahani lakini ila hii mi naiitaga kuwa ume play bitch scene...polr sana kama ni kweli imekutokea
 
Last edited by a moderator:
Bora na nyie mchezewe...mmezidi sana mxiuuu
 
nadhani kaona ni kibamia akachukua hatua
 
Tehe tehe tehee,...ngoja nicheke kwanza..then ntakushauri baadae!...
 
MZEE MSASAMBEGU

Mkuu sikia,..'Ogopa sana mwanamke anayekutongoza,wengi wao huwa hivyo kama alivyo kufanyia huyo du',..nashukuru kwa kutoa fundisho kwa watu wengine!
 
Last edited by a moderator:
Mnamlaumu bure tu, sio kila anaeva nguo za kike mwanamke. Unaeza kuta kakutana na msagaji kilichomkuta anajua mwenyewe, sasa badala ya kumpa pole mnamshangaa inabidi apewe faraja.
Pole MZEE MSASAMBEGU

Ahsante sana mkuu
 
huyo mwanamke ali expect more kutoka kwako ndo mana yeye alikuwa wa kwanza kukutamkia kuwa anakuhitaji.... sasa baada ya mechi ya faragha kaona haujafikia kama yeye alivotegemea so mkuu pole.... hakuna haja ya kisasi ni wewe mwenyewe kujiweka vizuri kwa watakao kuja wengine wasikuache kama huyu alivokuacha....
Ila ngoja niseme: Mkuu utachezewajwe...hahahaha...
 
tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe network searching....................................kumbe it applies na kwa ME
 
Back
Top Bottom