Nimetokea kumpenda shemeji yangu sana

Nimetokea kumpenda shemeji yangu sana

Nina mashaka na ufahamu wako!? Maskini namuonea huruma mumeo.
 
Kwa staili hiyo useme wanaume watatuoa kweeli, nahisi umechoka ndoa wewe mpe na hiyo ndoa ivunjike maana hiyo sio ndoa tena
 
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Kwa nini usiombe ushauri kwa mumeo. Kwenye issues Kama hizi ushauri wa husbands huwa ni mzuri sana kupita ushauri wa yeyote mwingine.
 
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?

Hapa tgo inahusika.

Wanaume kweli tuna kazi. Hii kitu haikwepeki.
 
Back
Top Bottom