BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Makubwa......
Kumbe......Una bahati sheria za JF zinazuia kumExpose mjumbe wa JF kwa lengo la kumchafua..!
Ningekuanika Juani Leo wewe..!
Ila naomba mpuuze hii ID..
Huyu ni mjumbe mzoefu tu! amekuja na ID mpya na wala sio jike, ni dume hili
Sasa unamwambia nani Mdogo wa mume wako humu?Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana
Natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?