Nimetokea kumpenda shemeji yangu sana

Nimetokea kumpenda shemeji yangu sana

Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana

Natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Mithali 14:1/Proverbs 14:1
The wise woman builds her house, but with her own hands the foolish one tears hers down. (KJV)
​
 
Mkalie uchi kila mnapokuwa sebleni. Pia mumeo akisafiri muombe mkae wote sebleni mpaka usiku wa manane muangalie movie. Lazima ata kubanju tu. Dah ...
 
Nimechek nimeona hii ni post yako ya kwanza.

Na bado kuna watu wananishauri nioe.
 
Naona ndoa yako inateketea kwa moto.

Usisahau kuleta mrejesho
 
Back
Top Bottom