South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,513
- 5,144
Uliutumia vizur utotoha hahah ha
Uliutumia vizur utotoha hahah ha
sana yani sikuwa na mchezo na utoto wanguUliutumia vizur utoto
Ndio maana huna swaga za kama aliyeanzisha threadsana yani sikuwa na mchezo na utoto wangu
Hapana kaka inategemea.Dah sawa dada ila angefanya mwanaume majina yote mabaya tungepewa
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Oops kumbe shemKwangu mimi!.....huu ushem hewa niliokupa nitaufuta mambo yakishakuwa poa![emoji1]
ShikamooNdio mjue
Wewe km humtaki mmeo Si umwambie Ili upate uhuru wa kufanya mambo yako..Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana
Natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?[/QUOTE
Unajua kuwa siku zote mchuma janga hula na wa kwao???
Hapana kaka inategemea.
I can agree with you! Hawezi kuwa mgeni alafu post yake ya kwanza iwe hivi maana nimeona ndio post ya kwanza kabisaUna bahati sheria za JF zinazuia kumExpose mjumbe wa JF kwa lengo la kumchafua..!
Ningekuanika Juani Leo wewe..!
Ila naomba mpuuze hii ID..
Huyu ni mjumbe mzoefu tu! amekuja na ID mpya na wala sio jike, ni dume hili
Vale hujambo maee!!Wanawake wengine shida tupu yani
Kwa hiyo mkuu unataka kutudhibitishia kuwa mume wako ni mwanaume suruali[emoji86]Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana
Natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?